Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Jakaya Mrisho Kikwete kahakikisha kwanza Sekondari zinajazana kiasi hakuna kuchaguwana, kahamia vyuo vya ufundi na vyuo vikuu nako anahakikisha vinajazana na anaeingia huko ni kwa merits na si kwa kuchaguliwa.
Mkaona mbinu zenu zinapanguliwa scientifically, mkaanza hila za wazi wazi za kupunguza marks za mitihani, nalo tumewastukia. Tunakula sahani moja siku hizi. Kwi kwi kwi teh teh teh.
Kwani sisi hatujui chuki zenu kwa Kikwete ni zipi? tunajuwa sana, lakini ndio anafanya hivyo, nyie bakini na vijiba vya roho.
Nimekupata sana kwa mkakati wa kuziba ufa badala ya kujenga ukuta.