Ujenzi wa barabara Arusha nani apewe sifa?

pamoja na WB kutoa hela kuna msukumo wa wanasiasa,kwani barabara ngapi zimepewa hela na WB lakini zimeliwa?

Mkuu Lekakui nitajie barabara moja tu ambayo pesa zake zilitolewa na WB na kuliwa. Moja tu sitaki mbili ama tatu.
 
Last edited by a moderator:
Zitaje wewe. World Bank ule hela yao halafu upewe tena mkopo? unaota.

Mkuu zomba yaani watu hawajui hata kidogo jinsi miradi ya WB inavyoendeshwa na kutekelezwa. Watu hawajui kwamba huwezi kutumia hela yao bila kwanza kupata NO OBJECTION
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwa hiyo sifa ziwaendee WB au walioomba mkopo WB(ccm)

Sifa ziwaendee walipa kodi wa Tanzania ambao pesa yao ya kodi ndio itakuja kulipa mkopo huo! hao CCM usiwapongeze maana najua zaidi ya 50% ya pesa ya mkopo wamechakachua kama kawaida yao hiyo inajengwa tu kidogo ili WB waone kuna kinachoendelea!!
 
CHADEMA mkuu kinasimamia vizuri na kuthibiti mafisadi mpaka hapo unapoona mambo kama hayo yanayoonekana leo hongereni Chadema
 
nikweli ni WB lakini tunawashukuru CHADEMA kwakua wangekua ccm hapo wange ufanikisha huo mpango 2040
 
Kuimarisha ngome iliyotekwa kwa kiasi kikubwa na kueneza utekaji huo maeneo mengi ni kazi sana,kinachofanyika dhahiri mnakielewa na sio malumbano hapa,sijui kama kuna uenezi zaidi ya wanangome hii umefanyika hivi karibuni,
Sasa ieleweke uenezi waja kwa njia nyingi sio lazima mikutano na ugawaji nguo na usafiri,njia za kisiasa ni nyingi.
Ni lini mji umeanza kuwa centre ya uttalii na bado ukaendelea kufanyaa vizuri kiutalii,pamoja na vumbi na uchafu,
Nawapongoza wana utalii kwa kutokata tamaa,tumeutangaza mji wetu kwa muda mrefu bila woga.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Habari zisizo RASMI zinasema ni WORLD BANK ndo wamedonate hizo funds kwa ajili ya ujenzi wa hizo barabara.Nikurekebishe kidogo kwamba bado hawajaweka LAMI wanachofanya ni kubomoa nakufunika na MORAM.Nadhani pia wanafanya hivyo kwa kuwa Mh. yupo BENCH na RUFAA ili kesi ikiisha watumie FURSA hiyo kuomba kura kwa kusema wamefanya hiyo kazi. Gnight:flypig::baby:
 
Kuna ukuta zaidi ya elimu? Elimu ndio msingi wa maendeleo na hicho ndicho kilikuwa hakipo kabla ya Kikwete. Wasomi wakuchaguliwa bila merits, si unaona kwa miaka yote hii ya 83/17 walipoifikisha nchi. Kikwete anabadili yote hiyo.

Elimu elimu ili upate mkopo lzm uwe na div I au II sasa yule mtoto wa shule ya kata unategemea atapata mkopo? Elimu ya mwanafunzi anayemaliza shule ya msingi na kufaulu lakini hajui kuandika/kusoma? Elimu ya shule kibao za kata zenye walimu 2. Elimu ya wanafunzi kukaa chini au kusoma chini ya mti mvua ikinyesha masomo yanaahirishwa kama vile mwaka au muhula bado unasubiri?
Zomba acha ushabiki Jaribu kufikiri kama mzazi mwenye mtoto anayesoma kwenye hizi shule. Na ndio maana nadhani tuwe na jukwaa la kutukanana ili tuondoe stress zinazosababishwa na watu kama nyie msio waonea huruma watz wenzenu
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

Mkopo wa World Bank huo mkuu , kama ni sifa ziende kwa WB kwa kukubali kutupa huo mkopo!
 
Siwezi kushukuru au kuwasifia watu wanapotekeleza majukumu yao! tuache kusifia watu wanapotekeleza wajibu,ni jukumu lao
 
Elimu elimu ili upate mkopo lzm uwe na div I au II sasa yule mtoto wa shule ya kata unategemea atapata mkopo? Elimu ya mwanafunzi anayemaliza shule ya msingi na kufaulu lakini hajui kuandika/kusoma? Elimu ya shule kibao za kata zenye walimu 2. Elimu ya wanafunzi kukaa chini au kusoma chini ya mti mvua ikinyesha masomo yanaahirishwa kama vile mwaka au muhula bado unasubiri?
Zomba acha ushabiki Jaribu kufikiri kama mzazi mwenye mtoto anayesoma kwenye hizi shule. Na ndio maana nadhani tuwe na jukwaa la kutukanana ili tuondoe stress zinazosababishwa na watu kama nyie msio waonea huruma watz wenzenu

Na yote hayo uyasemayo lakini ujuwe kuwa leo tuna wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi ya 300,000 na wanaongezeka kwa wingi kila mwaka toka Kikwete ashike madaraka kuliko wakati wowote ule, ambapo wakati wa kabla ya Kikwete hata 100,000 walikuwa hawajafika.
 
Siwezi kushukuru au kuwasifia watu wanapotekeleza majukumu yao! tuache kusifia watu wanapotekeleza wajibu,ni jukumu lao

Kila mtu anapongezwa kwa majukumu yake. Utampongeza kwa majukumu ya wenzake?
 
mjomba kama huwa unaenda kununua kibiriti chumvi au soda ujue unalipa deni la kujenga hizo lami plus baadhi ya hela walizoiba mafisadi..... sifa ziwaendee walipakodi wote wa nchi hii
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

Sifa apewe Mkurugenzi wa Manispaa na wataalamu wake wa wakati huo aliyejipinda mchana na usiku kuandika proposal akaiuza kwa wafadhili na wakaweka makubaliano. Usitangulize huu UJINGA (Siasa) kila mahali. Tumeachwa mbali sana na wenzetu kwa kila kitu kuwa cha Mheshimiwa. Wenzetu walioweka siasa pembeni wako mbali sana kwa sasa. Mkurugenzi, Mhandisi, afisa Mipango na wataalamu wengine ndiyo Engine iliyozaa hayo matunda. Diwani darasa la tatu aliandika nini pale kikaelewe3ka huko WB au kila kizuri lazima mtu wa siasa ajigambe kuwa ni yeye?????????? Tubadilike na tuwatie moyo watendaji. hao wana siasa ndo maadui wakubwa wa Maendeleo.
 
nasikia huyo mkurugenzi na kundi lake wameondolewa kwa kashfa ya rushwa.
 
Siwezi kushukuru au
kuwasifia watu wanapotekeleza majukumu yao! tuache kusifia watu
wanapotekeleza wajibu,ni jukumu lao

Pombekali umenena vema!
Pia wakusifiwa ni wananchi kwa kodi zao kwenye bia, soda, chumvi,nauli nk! Hata hivyo haitoshi walitakiwa wajenge hadi tandahimba! Wanatuibia!
 
Walishindwa kumpitisha yule mgombea mwanamke na inaaminika kuwa walikuwa na urafiki na Lema wa CDM. Fuatilia viongozi wote waliokuwa Ar wakati huo. Unajua Basilio Mateo aliko kwa sasa??? usishangae ya huyu mkurugenzi
 
Back
Top Bottom