Naomba kujuzwa kuhusiana na ujenzi unaendelea wa flyover chang'ombe /uhasibu maana yangu ni kuwa kwa nini hawa wakandarasi wakati wa ujenzi hawamalizi kwanza upande mmoja ili kupunguza msongamano ndio waendelèe na mwingine kuliko upande mmoja haujaisha wao wameshanza mwingine msongamo inazidi kuwa mkubwa zaidi waandisi tujuzeni