UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

Hii habari ni mbaya sana:-

1. , Inaua biashara ya tinted kwa wafanya biashara zikiwemo zile sportlights na . Ni hasara kwa Wauzaji.

2.Pili nchi imekua kama inatawaliwa kijeshi kwa wananchi kuwekewa sheria lukuki utadhani sio Tanzania.
3. Ni ubaguzi dhidi ya wakazi WA Dar,peke yao wakati mikoa mingine tuna enjoy ndani ya Tinted.
4. Ni udhaifu WA Polisi katika kubuni mbinu mbadala za kupambana na Uhalifu matokeo yake wana ingilia Uhuru WA watu kuishi wapendavyo.
Hakuna Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
5:Ni kuingilia privacy za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tinted ni sawa na Nyumba yenye uzio.

Sasa hawa police wetu wengine hawajawahi miliki Gari afu unategemea watajuaje umuhimu wa tinted?
Tuwasamehe bure ila tusiwaruhuru kufanya huo utumbo.
 
Dah.....si bure...kuna mtu katendwa na tinted

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Habari ndugu zangu!
Tinted siyo kosa la jinai na haijawahi kuwa kosa!
Nchi inaongozwa na sheria!
Kwanini Tunyanyasike Kwa matamshi yasiyo zingatia sheria? Kama Kuna haja ya kutoa Tinted kwanini wasipeleke mswada bungeni?
Nchi haiendeshwi Kwa matamko tu kama vile unaongoza punda! Sisi ni watu, Tena tumeenda shule, Tunaomba tuongozwe Kwa sheria Tafadhari! Haiwezekani kisa kiongozi umeibiwa mchepuko, ama Kwa kushauriwa na mkeo halafu ghafla unatangaza kupiga marufuku!

Jeshi la polisi lizingatie sheria
Haiwezekani hata siku moja jeshi lenye taaluma na weledi waje na simple excuse ya kupiga marufuku Tinted eti kisa Kuna baadhi ya watu wanatumia kufanyia ngono! Hivi tangu lini Kuna sheria inayoelekeza ngono ifanyiwe wapi? Kuna watu wanafanyia porini je tutachoma misitu?
Kama hoja ni uharifu je; Bodaboda zinazotumika kiharifu zina Tinted?
Kwanini ghafla tinted zipigwe marufuku bila kuzingatia athari Kwa walaji na wauzaji? Inamaana nayo hayo magari ya serikali yaliyowekwa Tinted hutumika kiharifu?
Wanasheria mko wapi kupeleka hawa watu mahakamani? Kuna watu wana stock kubwa na imelipiwa kodi inakuaje mtu apige marufuku ghafla? Waandishi Wa habari itisheni mahojiano kuhusu jambo hilo.

Faida za Tinted
1. Kuzuia mwanga.
2. Kutunza kioo
3. Haivutii wezi/ vibaka kuvunja vioo kuchukua Chochote!
4. Kiusalama inazuia mtu kuonwa na kila mtu.
5. Matajiri na watu maarufu si vyema kuonekana na kila mtu wapitapo ili kuepusha kero mbalimbali.
6. Wagonjwa si vyema kuonekana
7. Umbea Kwa majilani kuangalia kila kitu unachobeba. N.k
WAMIRIKI WA MAGARI KUNA UMHIMU WA KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA MAKAO MAKUU YA POLISI KUPINGA ZUIO LA TINTED
Kama kuna duka jirani, agiza unachokunywa nakuja kulipa... Umenikonga moyo daa... Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitoshangaa kusikia ni marufuku kuvaa miwani meusi.
Kuna watu wanaona hii haiwausu lakini tukiacha mambo yaende hivi tutapangiwa mpaka cha kuvaa.
Leo tinted kesho sijui utakuwa nini, tunaenda kama gari bovu as if hakuna sheria na katiba...
Eeeh M/mungu wajalie busara watawala wetu
 
Habari ndugu zangu!
Tinted siyo kosa la jinai na haijawahi kuwa kosa!
Nchi inaongozwa na sheria!
Kwanini Tunyanyasike Kwa matamshi yasiyo zingatia sheria? Kama Kuna haja ya kutoa Tinted kwanini wasipeleke mswada bungeni?
Nchi haiendeshwi Kwa matamko tu kama vile unaongoza punda! Sisi ni watu, Tena tumeenda shule, Tunaomba tuongozwe Kwa sheria Tafadhari! Haiwezekani kisa kiongozi umeibiwa mchepuko, ama Kwa kushauriwa na mkeo halafu ghafla unatangaza kupiga marufuku!

Jeshi la polisi lizingatie sheria
Haiwezekani hata siku moja jeshi lenye taaluma na weledi waje na simple excuse ya kupiga marufuku Tinted eti kisa Kuna baadhi ya watu wanatumia kufanyia ngono! Hivi tangu lini Kuna sheria inayoelekeza ngono ifanyiwe wapi? Kuna watu wanafanyia porini je tutachoma misitu?
Kama hoja ni uharifu je; Bodaboda zinazotumika kiharifu zina Tinted?
Kwanini ghafla tinted zipigwe marufuku bila kuzingatia athari Kwa walaji na wauzaji? Inamaana nayo hayo magari ya serikali yaliyowekwa Tinted hutumika kiharifu?
Wanasheria mko wapi kupeleka hawa watu mahakamani? Kuna watu wana stock kubwa na imelipiwa kodi inakuaje mtu apige marufuku ghafla? Waandishi Wa habari itisheni mahojiano kuhusu jambo hilo.

Faida za Tinted
1. Kuzuia mwanga.
2. Kutunza kioo
3. Haivutii wezi/ vibaka kuvunja vioo kuchukua Chochote!
4. Kiusalama inazuia mtu kuonwa na kila mtu.
5. Matajiri na watu maarufu si vyema kuonekana na kila mtu wapitapo ili kuepusha kero mbalimbali.
6. Wagonjwa si vyema kuonekana
7. Umbea Kwa majilani kuangalia kila kitu unachobeba. N.k
WAMIRIKI WA MAGARI KUNA UMHIMU WA KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA MAKAO MAKUU YA POLISI KUPINGA ZUIO LA TINTED

Tuambie sisi wazee wa kazi lini mnaandamana
Tuwasubiri
 
Tutumie Tu Busara, Co Kila Mtu Ataweza Kuandika Nzr. Ndo Maana Kuna Taaluma Ya Uwandish, Lugha Nk Na Ndo Kaz Za Waharir, Ss Km Mtu Anajua Bac Ajaribu Kumuelekeza Mwenzie Ambavyo Ilipaswa Kuwa Kwa Ustaarabu, Atajua Tu. Lkn Ni Wazo Zuri Alilojaribu Kushare
 
Tutumie Busara, Co Kila Mtu Ataweza Kuandika Heading Nzr. Ndo Maana Kuna Taaluma Ya Uwandish Na Ndo Kaz Za Waharir, Ss Km Mtu Anajua Bac Ajaribu Kumuelekeza Mwenzie Ambavyo Ilipaswa Kuwa. Lkn Ni Wazo Zuri Alilojaribu Kushare

Bora yeye kaandika L badala ya R sehemu moja, sasa wewe, sijui ni uvivu au ujinga kuacha "I" na kufupisha maneno kama dent wa kike wa shule ya msingi la 6C.

Co, nzr, ss, bac, Lkn, Kaz, km... Lugha gani hii! Acha utoto ushakua mtu mzima
 
Back
Top Bottom