Polisi katika hili suala la namba 3D ni onevu bila ya kupepesa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi!

Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi ya Kisheria inaongozwa kwa misingi ya sheria na siyo kutoka mtu kwa sababu yeye ana mamlaka ya kufanya chochote basi anatekeleza anachotaka!

Twende eneo la Ving’ora (sirens) Hili ni sawa kabisa polisi wachukue hatua kali kwatakaokutwa na ving’ora kwani vinaondoa maana halisi ya kwa watu au taasisi zinazoruhusiwa kuwa navyo na magari yanayokithiri ni magari ya serikali,mawaziri,wabunge,Wakuu wawilaya,makatibu wakuu,wana Jeshi,polisi wenyewe, hata watu Bonarski na taasisi za kiraia, Iła kwenye hili naona polisi wanashindwa asubuhi! Maana kuna magari hawatathubutu kuyagusa!.

Polisi warudi nyuma katika uamzi wa 3D siyo wabusara wamepotoka. Kesho mtasema tinted watu wazitoe hapo itwapasa mtoe mgari yote ya serikali kabla ya kuja kwenye magari ya kiraia, kuna mambo mengi yakuzingatia katika magari hasa katika swala la ukaguzi magari makubwa hasa ya mizigo mengi ni mabovu sana!

Kuliko kufanya ukaguzi wa kila mwaka ukaguzi uwe wa kila mara na endelevu hii itapunguza ajali zisizokuwa za lazima wakiweza kusimamia hili ajali nyingi zitazuiwa!

e1aa1a2a-a2c3-4970-99d0-3d2974594480.jpeg
9abdf1c9-6b37-45ff-849b-bc56c137205c.jpeg
0e4879a5-fc0d-455f-9abc-c781f993b043.jpeg
 
Maamuzi ya kukurupuka
Fog/sports lights zilipigwa marufuku sasa zipo kama kawa
Tinted nazo zpikapigwa marufuku na hata kuanza kung'olewa hizi sasa zipo mpaka kwenye side mirrors
Bullbars nazo ziliwahi kupiga marufuku kubwa juzi nimeona fun cargo ina boonge la ngao mbele
Hizi 3D ni mgongano wa kimaslahi tu huko juu/ndani.. Wakimalizana vizuri hutalisikia tena hili trust me..!
 
Hawa wanataka Rais aendelee kuchukiwa tu kwamba ameshindwa kuwa na sauti.
Huyu Mtanzania Hana SUKARI, HANA MAJI, KATOKA KWENYE MGAO WA UMEME, NAULI JUU, Wakristo wako Kwaresma, Kuna Mfumuko wa Bei, Kuna Maaandamano ya Chama kikuuu cha Upinzani.

Chama Tawala kinatafuta Kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Polisi wasivyokuwa na Timing, wasivyo kuwa na akili, Wasivyotumia Busara, ama ni Sabotage kwa Rais wanaaamua kuja na SINDANO YA MAUDHI KAMA HII ili Mtanzania aendelee kukereka zaidi. Shiiiit
 
Maamuzi ya kukurupuka
Fog/sports lights zilipigwa marufuku sasa zipo kama kawa
Tinted nazo zpikapigwa marufuku na hata kuanza kung'olewa hizi sasa zipo mpaka kwenye side mirrors
Bullbars nazo ziliwahi kupiga marufuku kubwa juzi nimeona fun cargo ina boonge la ngao mbele
Hizi 3D ni mgongano wa kimaslahi tu huko juu/ndani.. Wakimalizana vizuri hutalisikia tena hili trust me..!
Nikweli ni mgongano wa maslahi ila nachokijua ni kuwa hawataweza
 
Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi!
Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi ya Kisheria inaongozwa kwa misingi ya sheria na siyo kutoka mtu kwa sababu yeye ana mamlaka ya kufanya chochote basi anatekeleza anachotaka!

Twende eneo la Ving’ora (sirens) Hili ni sawa kabisa polisi wachukue hatua kali kwatakaokutwa na ving’ora kwani vinaondoa maana halisi ya kwa watu au taasisi zinazoruhusiwa kuwa navyo na magari yanayokithiri ni magari ya serikali,mawaziri,wabunge,Wakuu wawilaya,makatibu wakuu,wana Jeshi,polisi wenyewe, hata watu Bonarski na taasisi za kiraia, Iła kwenye hili naona polisi wanashindwa asubuhi! Maana kuna magari hawatathubutu kuyagusa!. Polisi warudi nyuma katika uamzi wa 3D siyo wabusara wamepotoka. Kesho mtasema tinted watu wazitoe hapo itwapasa mtoe mgari yote ya serikali kabla ya kuja kwenye magari ya kiraia, kuna mambo mengi yakuzingatia katika magari hasa katika swala la ukaguzi magari makubwa hasa ya mizigo mengi ni mabovu sana! Kuliko kufanya ukaguzi wa kila mwaka ukaguzi uwe wa kila mara na endelevu hii itapunguza ajali zisizokuwa za lazima wakiweza kusimamia hili ajali nyingi zitazuiwa!
Sio uonevu tu ni wivu tu unakuta police hana hata Bajaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi ya kukurupuka
Fog/sports lights zilipigwa marufuku sasa zipo kama kawa
Tinted nazo zpikapigwa marufuku na hata kuanza kung'olewa hizi sasa zipo mpaka kwenye side mirrors
Bullbars nazo ziliwahi kupiga marufuku kubwa juzi nimeona fun cargo ina boonge la ngao mbele
Hizi 3D ni mgongano wa kimaslahi tu huko juu/ndani.. Wakimalizana vizuri hutalisikia tena hili trust me..!

Ila wale wanaoweka tinted hadi kioo cha mbele haiko vizuri kwa usalama,
Majambazi hutumia huo udhaifu wa taratibu zetu, yaani hata akipaki karibu na mlango wako huwezi kuona aliyeko ndani; Shame!!!
 
Au ni magari ya wanachadema huko kwenu 😁

Mama anaupiga mwingi sana, sema kuna watu wanataka kumchafulia cv yake
 
Back
Top Bottom