sasa hao hawaon kama wanawaumiza?wenzenu sua jina la chuo linawauza hata wakiwa na gpa ndogo,sa nyie c ndo itakula kwenu na ushirika wenu.
senetor nadhan shule haijakusaidia.jadil mada acha majungu.
sasa hao hawaon kama wanawaumiza?wenzenu sua jina la chuo linawauza hata wakiwa na gpa ndogo,sa nyie c ndo itakula kwenu na ushirika wenu.
Usifananishe Mzumbe(mameneja)na SUA wafuga Panya!Ukomage na endelea kujipa moyo!Unajitekenya afu unacheka
Umeandika vema katika red...lakini kumbuka ajira inaanzia ku-short list majina kwa ajili ya interview sasa kama GPA yako imepunguzwa na mfumo usio sawa unafikiri utaitwa katika interview ili uoneshe uwezo wako?
swala si aina ya degree zitolewazo swala ni hakuna mfumo sawa katika kucalculate hizi GPA miongoni mwa vyuo hapa nchini..mkuu unajua GPA za Mzumbe Universty zinavyokuwa calculated?pia naomba kujua kozi zinazotolewa Mzumbe ambazo na SUA wanatoa,otherwise nadiriki kusema umekurupuka kupost au SUA wamewafundisha kuongea bila kufanya research.
swala si aina ya degree zitolewazo swala ni hakuna mfumo sawa katika kucalculate hizi GPA miongoni mwa vyuo hapa nchini..
Kaka sio malumbano weka vi2 hadharani 2jue.mkuu unajua GPA za Mzumbe Universty zinavyokuwa calculated?pia naomba kujua kozi zinazotolewa Mzumbe ambazo na SUA wanatoa,otherwise nadiriki kusema umekurupuka kupost au SUA wamewafundisha kuongea bila kufanya research.
hahaha,mkuu tusaidie calculation ya GPA ya mzumbe
Gpa ya mzumbe wanatumia the same formula wanayotumia SUA, aliileta DVC ACADEMIC mwaka 2007 baada ya kuamia mzumbe kutoka SUA i mean
mchango wa A ya 80 na A ya 90 ni tofauti kwenye GPA, mfano mtu akipata C ya 50 is equal to 2.0 GPA while akipata C ya 59 is equal to 2.9 GPA
kwa hiyo wakuu hata kama hamuipendi mzumbe but msidanganye kuhusu mzumbe, i was there for BAF from 2007-2010 and now i enjoy MU fruits at KPMG,,, there is no place like home go go Mzumbe japokuwa haters wana chuki na wewe
kumbe mkuu na wewe unaongea bila kufanya research, na siamini kama SUA mmefundishwa hivyo!nilichotaka kukuonesha ni kwamba calculation ya GPA inayotumika SUA na Mzumbe Chuo Kikuu ni hiyohiyo kwa kukusadia tafuta prospectus ya Mzumbe University(kama unaitaka nipm nikupe) hvyo basi mfano alioutoa hauendani na malengo ya muanzishaji thread kwa sababu GPA zote kwa SUA na Mzumbe zinafanana jinsi zinavyokuwa calculated.MIMI NA JIAMINI KWA SABABU NATIMIZA MSEMO WA NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.Tukirudi kwenye mada nadhani hiyo sxstem inasaidia watu wasome na vilevile pindi unapopeleka gamba lako kama una 3.5 unaonekana upo makini.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,TUACHE MALUMBANO TUJENGE TANZANIA ILIYO IMARA. .
Nilimaliza UDSM Civil engineering 2005.At least your fellow managed to put some facts(see post #14) and I salute him for that! Wewe badala ya kuja na facts unaanza kushambulia watu.Come again sijakuelewa hapo kwenye red Mkuu wangu,issue ni 3.5 vs 3.8 GPA's which both are basically upper 2nd but at times treated differently.
Kaka sio malumbano weka vi2 hadharani 2jue.
Kaka sio malumbano weka vi2 hadharani 2jue.
Umemuona eeh. Blah blah badala ya kushusha nondo za ukweli watu wajue/warekebishe penye makosa.
C ndo 2meambiwa 2ctegemee Gpa ya 1st clas wala A. Ukipata A inachakachuliwa inakua B+ au B. Km co kubaniana masters ni nin? Mfumo wa vyuo vikuu tz ni wa kibabe mno.
kweli we mkweche wa mawazo na akili watu wa sua ni wamuhimu sana ndo wanakufanya uende toilet wew, so unaposema mameneja naona akili haikutoshi nan kakwambia umeneja unasomewa?
Sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na TCU ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye GPA hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.Lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua GPA ya 3.8 kama UDSM,SUA,OPEN na baadhi ya private.Sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (TANZANIA YETU).Nawashauri wale wote wenye GPA 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa Sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.Na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya NACTE navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama DIT,Arusha tech,Veta,vyuo vya ardhi kama Morogoro,Tabora na vinginevyo.Kwa hiyo kama una GPA hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.Nawasilisha.