King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Very good discussion, japo mwisho wa siku kila mtu atajiuza sokoni. GPA so far ina effects kwenye kazi za kufundisha na auditing firms. Sehemu zingine wameshashtukia kuna watu wana GPA za kufa mtu na kichwani hamna kitu. Kitakachokuuza zaidi ni jinsi unavyojieleza kuanzia kwenye CV hadi kwenye interview. Make sure u know exactly what u ar dealing with, afu ushangae unamshinda mwenye phd yake unachukua kazi kama kawa!