Uhandsome bwana sio Tabia!!

Heee! Kumbe wenzangu bado wanaangalia uhandsome! Mi kwa kweli uhandsome kwangu sio issue, muhimu niwe nimekufeel tu, na labda hapo kwenye mambo fulani nakuunga mkono, kama mwanaume anachemsha kwenye mambo fulani basi mi simtaki! Nipo kinyume nawe maana mi tabia naiangalia kwa jicho makini sana! Kwa mfano kuna kijana alikuwa ananitongoza wakati fulani, sasa siku moja nikapitia kwenye wall yake ya facebook kidogo nizimie hayo mambo anayopost, na ndio nikamdisqualify kabisa.
 
Utamfeel vipi mtu kama sio handsome.....!!! Wacha urongo!
 
wanawake wanataka watoto wazuri kwa hiyo ndio maana ana target handsome boys bt hua haitokei hivyo siku zote...mi nazijua couples ambazo ni wazuri kweli lakini watoto mh not reachable
 
mnatunyanyapaa sisi ma-handsome bana, ina maana Mungu alikosea kutuumba hivyo?
 
wanawake wanataka watoto wazuri kwa hiyo ndio maana ana target handsome boys bt hua haitokei hivyo siku zote...mi nazijua couples ambazo ni wazuri kweli lakini watoto mh not reachable

Ukiona hivyo labda kaibiwa.
 
du hili jipya, ma handsome tuna shida kumbe, handsome, unamkwanja, shule umepiga....lakini sitaki mwanamke anayejisikia kutokana na uzuri wake,
so yule dada awe makini uzae na handsome halafu akukimbie ndiyo utaona dunia finyu....fikiria mbele zaidi
 
Ni mtazamo tu...

Hapo ndio ninapompendea kiumbe wa kike....
Anapokuwa bado kigori 16-19 utamsikia mimi bwana
mume wangu lazima awe mrefu,handsome mwenye pesa
na kila aina ya sifa(akibahatika kumpata alhamdullilah)
Akivuka hapo kuanzia25-30 utamsikia aah mume
ninayemtaka asiwe mrefu sana,sura haijalishi kwa sana
ila tu aweze kunipenda na kunijali(akitokea alhamdullilah
Kuanzia 30-35 kiumbe huyohuyo utamsikia ninayemtaka
sitajali sura mradi tu awe na shughuli yake inayomwingizia kipato
Kutoka 35 na kuendelea kama hakubahatika kupata, kiumbe
huyohuyo utamsikia akisema aah mimi yeyote atakayejitokeza
niko tayari kuolewa naye,sasa jamani tuwaeleweje hawa binadamu..??

NAWAZA TU HAPA KWENYE PC YANGU.....
 
Ila kweli bwana sio unachukua li mpenzi lenye sura kama DONDA NGUGU au SURA KAMA UKOKO WA MAKANDE hadi ukimpeleka ukweni dada zako wanamuita ZOMBIE mi naunga mkono sredi yetu ya leo.MWENZENU NILISHINDWA KUDINDA KITANDANI KUTOKANA KUANGALIA TABIA KULIKO MVUTO hipo siku ntawapa movie.
 
Ni mtazamo tu...

Hapo ndio ninapompendea kiumbe wa kike....
Anapokuwa bado kigori 16-19 utamsikia mimi bwana
mume wangu lazima awe mrefu,handsome mwenye pesa
na kila aina ya sifa(akibahatika kumpata alhamdullilah)
Akivuka hapo kuanzia25-30 utamsikia aah mume
ninayemtaka asiwe mrefu sana,sura haijalishi kwa sana
ila tu aweze kunipenda na kunijali(akitokea alhamdullilah
Kuanzia 30-35 kiumbe huyohuyo utamsikia ninayemtaka
sitajali sura mradi tu awe na shughuli yake inayomwingizia kipato
Kutoka 35 na kuendelea kama hakubahatika kupata, kiumbe
huyohuyo utamsikia akisema aah mimi yeyote atakayejitokeza
niko tayari kuolewa naye,sasa jamani tuwaeleweje hawa binadamu..??

NAWAZA TU HAPA KWENYE PC YANGU.....

kwa kweli..........
 
ninaye jamaa yangu ni marehemu sasa,amewahi kuzaa na mwanamke mwenye pesa kwa dizaini hii na mwanamke alipopata mtoto akasepa zake kwani alipata alichohitaji.na kiukweli mtoto alikuwa mzuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom