Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,340
- 33,167
mkuu naheshimu ushauri na michango yako pls ebu nifafanulie unaposema akuna dawa ya hosp inayotibu vidonda vya tumbo cjakuelewa mkuu
Mkuu mimi ndio naitwa MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mkuu kuna Maradhi ambayo yanaitwa (Chronic) Maradhi Sugu yasiyoweza kutibika Mahospitali Lakini kwa Waganga wa Kienyeji
yanatibika kama Ugonjwa wa Kisukari, (Diabetic) Ugonjwa wa Pumu ( Asthma) Ugonjwa Kifafa epileptic disease Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo( Ulser) Ugonjwa Kansa ( Cancer
Disease) na Ugonjwa wa Wendawazim hayo tu ni baadhi ya Magonjwa tu yasiyoweza kutibika Mahospitalini Mkuu yanatibika kwa Waganga wa Kienyeji. Usije ukashangaa kuona mkojo unatibu Maradhi mengi tu Asante