Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 83
hao wameleta topic yao wenyewe ili kutangaza biashara, tukianza kujadili ndo tutakuwa tunatangaza dawa zao za kienyeji ambazo hazina hata ufafiti hizo. mtu uko buguruni halafu unasema umetafiti na kuona dawa ya vidonda vya tumbo. naomba watu muwe makini, msichezee maisha yenu shimoni. wakati mwingine hawa madoctor na maprofesa wetu wa magomeni na buguruni, wanaweza wakakupatia dawa ya kutuliza wiki moja, ikaibua tatizo la miaka hamsini. na naomba Mungu wasiwe ni maajenti wa shetani kama walivyo freemason.