Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

mkuu naheshimu ushauri na michango yako pls ebu nifafanulie unaposema akuna dawa ya hosp inayotibu vidonda vya tumbo cjakuelewa mkuu

Mkuu mimi ndio naitwa MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mkuu kuna Maradhi ambayo yanaitwa (Chronic) Maradhi Sugu yasiyoweza kutibika Mahospitali Lakini kwa Waganga wa Kienyeji

yanatibika kama Ugonjwa wa Kisukari, (Diabetic) Ugonjwa wa Pumu ( Asthma) Ugonjwa Kifafa epileptic disease Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo( Ulser) Ugonjwa Kansa ( Cancer

Disease) na Ugonjwa wa Wendawazim hayo tu ni baadhi ya Magonjwa tu yasiyoweza kutibika Mahospitalini Mkuu yanatibika kwa Waganga wa Kienyeji. Usije ukashangaa kuona mkojo unatibu Maradhi mengi tu Asante
 
mimi ni mama mtu mzima mwenye uli wa miaka 69 nina watoto wa 5 wakubwa tu....Tatizo langu linalo nisumbua sana ni.. ni madonda ya tumbo amabyo hua yananiuma sana ninapo kua na njaa , na nimetumia dawa mbali mbali.... naomba msaada wenu.....
 
Ningelikushauri kuna Doctor hapa jamii Forums aanaitwa kwa jina MziziMkavu hebu muulize na ufuate ushauri wake huenda ukapona yeye huyu Mzizimkavu ninafikiri ataweza kukusaidia .
 
Ni vyema ukaepuka kukaa na njaa muda mrefu. Ni bora uwe unapata chakula hata kama ni kidogo kila baada ya masaa machache labda hii itapunguza hayo maumivu makali unayoyapata baada ya kukaa na njaa. Pia itakuwa vizuri kuomba msaada zaidi kwa madaktari.

Ulcers: What You Can Do to Heal Your Ulcer

What is an ulcer?

Ulcers are sores on the lining of your digestive tract. Your digestive tract consists of the esophagus, stomach, duodenum (the first part of the intestines) and intestines. Most ulcers are located in the duodenum. These ulcers are called duodenal ulcers. Ulcers located in the stomach are called gastric ulcers. Ulcers in the esophagus are called esophageal ulcers.

186.Par.0001.Image.gif

What causes ulcers?

Doctors used to think ulcers were caused by stress or by eating food with too much acid in it. We now know this isn’t true. Most ulcers are caused by an infection. The infection is caused by a bacteria (germ) called Helicobacter pylori (say: hell-ee-ko-back-ter pie-lore-ee”), or H. pylori for short. Acid and other juices made by the stomach can contribute to ulcers by burning the lining of your digestive tract. This can happen if your body makes too much acid or if the lining of your digestive tract is damaged in some way. Physical or emotional stress may not necessarily cause an ulcer, but it can aggravate an ulcer if you have one.

Ulcers can also be caused by anti-inflammatory medicines. Although most people take these medicines without problems, long-term use may damage the stomach lining and cause ulcers. Anti-inflammatory drugs include aspirin, ibuprofen (one brand name: Motrin), naproxen (brand name: Aleve), ketoprofen (brand names: Actron, Orudis KT) and some prescription drugs for arthritis.
Return to top

How can my doctor tell if I have an ulcer?

Your doctor will ask about your symptoms and may start you on some medicine before doing tests. This is because ulcers usually feel better within a week or so of treatment. You may not need tests if you're getting better.

If you don't get better, your doctor may do an endoscopy or a special X-ray to study your digestive tract. During an endoscopy, your doctor looks into your stomach through a thin tube. He or she may take a biopsy (a sample of the stomach lining) to test for H. pylori. Blood and breath tests can also be used to test for H. pylori.
Return to top

Possible signs of an ulcer

  • Feel better when you eat or drink and then worse 1 or 2 hours later (duodenal ulcer)
  • Feel worse when you eat or drink (gastric ulcer)
  • Stomach pain that wakes you up at night
  • Feel full fast
  • Heavy feeling, bloating, burning or dull pain in your stomach
  • Vomiting
  • Unexpected weight loss

How can ulcers be treated?

One way to treat ulcers is to get rid of the H. pylori bacteria. Treatment may also be aimed at lowering the amount of acid that your stomach makes, neutralizing the acid and protecting the injured area so it can heal. It's also very important to stop doing things, such as smoking and drinking alcohol, that damage the lining of your digestive tract.

What is triple therapy?

Triple therapy is a treatment to eliminate H. pylori. It is a combination of 2 antibiotics and bismuth subsalicylate (one brand name: Pepto-Bismol). Other combinations may also be effective. This treatment may be used with medicine that reduces the amount of acid your stomach makes.

What about other medicines?

Several other medicines can be used to help treat ulcers. Two types of medicines (H2 blockers and proton pump inhibitors) reduce the amount of acid that your stomach makes. They usually help people start to feel better within 3 days.

Antacids neutralize acid that the stomach makes. A medicine called sucralfate coats the ulcer to protect it from the acid so it has time to heal.

Another medicine, misoprostol, reduces the amount of acid and protects the lining of the stomach. It is usually used to prevent gastric ulcers in people who need to take anti-inflammatory drugs and who have had stomach irritation or ulcers in the past.

How long will I have to take medicine?

Treatment to get rid of H. pylori usually takes about 2 to 3 weeks. Your doctor may want you to take medicine that lowers the stomach acid for up to 8 weeks. Most ulcers heal within this time.

If your symptoms come back after you stop taking medicine, your doctor may want you to take a different medicine or take a low dose of medicine even when you're not having symptoms to keep the ulcer from coming back.

Tips on healing your ulcer

  • Don't smoke.
  • Avoid anti-inflammatory drugs such as aspirin and ibuprofen.
  • Avoid caffeine and alcohol (or have them only in small amounts and on a full stomach).
  • Avoid spicy foods if they cause heartburn.
Does what I eat affect my ulcer?

It may. But this isn't true for everyone. Certain foods and drinks may be more likely to make your pain worse. These include both regular and decaffeinated coffee, tea, chocolate, meat extracts, alcohol, black pepper, chili powder, mustard seed and nutmeg. You may want to avoid these things if they bother you. But keep your diet balanced. Try eating small, frequent meals when you're having pain.

Are ulcers serious?

Most people with ulcers just have stomach pain. Some people don’t have any symptoms at all. But ulcers may cause other health problems. Sometimes they bleed. If the ulcers become too deep, they can break through the stomach. This is called perforation. Ulcers can block food from going through the stomach (called obstruction). This causes nausea, vomiting and weight loss. Get help right away if you have any of the warning signs in the box below.

Warning signs that your ulcer is getting worse

  • You vomit blood.
  • You vomit food eaten hours or days before.
  • You feel cold or clammy.
  • You feel unusually weak or dizzy.
  • You have blood in your stools (blood may make your stools look black or like tar).
  • You have ongoing nausea or repeated vomiting.
  • You have sudden, severe pain.
  • You keep losing weight.
  • Your pain doesn't go away when you take your medicine.
  • Your pain reaches to your back.
 
Mkuu mimi ndio naitwa MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mkuu kuna Maradhi ambayo yanaitwa (Chronic) Maradhi Sugu yasiyoweza kutibika Mahospitali Lakini kwa Waganga wa Kienyeji

yanatibika kama Ugonjwa wa Kisukari, (Diabetic) Ugonjwa wa Pumu ( Asthma) Ugonjwa Kifafa epileptic disease Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo( Ulser) Ugonjwa Kansa ( Cancer

Disease) na Ugonjwa wa Wendawazim hayo tu ni baadhi ya Magonjwa tu yasiyoweza kutibika Mahospitalini Mkuu yanatibika kwa Waganga wa Kienyeji. Usije ukashangaa kuona mkojo unatibu Maradhi mengi tu Asante

mkuu saluti nikweli niliandikiwa dawa na dr kwa ajili ya vidonda lakini ziro zilikuwa kama antbaotiki tu
 
una mawazo mazuri, tatizo ni hiyo tiba na upatikanaj wake. utamwambia dokta yupi hadi akufanyie vipimo vyote hivyo katika hospitali zetu hizi? hata mi nasumbuliwa na alcers sema madokta ni miyeyusho sana. hata hizo heligo hamna kitu. kama kuna tiba ya asili, wajuzi mtuambie

Sunday, February 14, 2010

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA

RAHABU ULCERS CENTRE IPO BUGURUNI PETROL STATION (SHELLY), JENGO LA KIOMBOI KISIRIRI PHARMACY, GHOROFA YA KWANZA JENGO LINATAZAMANA NA SHULE YA MSINGI BUGURUNI

Rahabu Ulcels Clinic Centre ni ya kwanza duniani kugundua dawa halisi ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Fiterawa na kliniki imesajiliwa na Msajili wa Makampuni Tanzania kwa hati namba 159505.
Dawa imethibitishwa na Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Kitengo cha Tiba Asili kwa hati yenye kumbukumbu namba ITM/CB/II/12-NOV.08. Pia imethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa haina madhara kwa mtumiaji kwa kumbu. Na. 341/Vol./XII.

Dawa hii tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1998 imetibu na kuponya zaidi ya wagonjwa 500,000 hadi hivi sasa wa vidonda vya tumbo kutoka ndani na nje ya nchi.

NITAJUAJE KAMA NINA VIDONDA VYA TUMBO?

1). Njia iliyo sahihi na nzuri zaidi ni kupima kwa kutumia daktari wa kutumia kipimo kiitwacho Barium Meal X-Ray (Endoscopy).

DALILI ZA UGONJWA WA TUMBO

II). Dalili zitakazokufanya ujihisi vidonda vya tumbo ni kuchoka choka sana bila sababu maalum, mgongo kuuma (kiuno), kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia, kizunguzungu, kukosa usingizi, usingizi wa mara kwa mara. Maumivu makala sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.

Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali (Heart burn). Dalili zingine ni kichefuchefu, kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuwaka moto, maumivu makali sehemu kilipo kidonda, kukosa choo, na kupata kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kma mbuzi (Constipation) shida ya choo.

Kutapika nyongo, kutapika damu au kuharisha, sehemu za mwili kupata ganzi n.k. Pia dalili zingine ni kukosa hamu ya kula, kula kupita kiasi, kusahahu sahau na hasira. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya umbo hasa kwa mgonjwa sugu (Chronic Desease) kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia kizima.

1. MANDALIZI YA DAWA

Koroga dawa hadi ichanganyike vizuri, yaani usibaki mgando wowote cini ya chombo. Kabla ya kutumia dawa hakikisha umekula, kisha subiri baada ya dakika 45 baada ya ula ndio unywe dawa.

2. MATUMIZI

*Kunywa glasi mbilio (tumia glasi yenye ujazo wa Ml 350) kwa kutwa glasi 2x2 kwa muda wa siku 3-6.

*Kisha acha kunywa kwa siku saba na rudia tena kunywa mfululizo kwa siku 3-6.
Baada ya hapo acha kunywa kwa siku 30 yani mwezi mzima, kisha rudia tena kunywa kwa siku 3-6.

Kisha utaendelea na masharti ya chakula kwa miezi miwili (2) yaano siku 60. Baada ya hapo utaruhusiwa kula aina zote za vyakula. Pia baada ya uo muda kapime katika hospitali yoyote kama unataka kuthibitisha uponaji kwani utakuwa umepona kabisa.

MASHARTI YA VYAKULA WAKATI UNATUMIA DAWA

i). Vyakula: Usile maharage au nafaka yoyote jami ya und, wali, nyanya, pilipili, ndimu, mchicha, isamvu, majani ya kunde, ndizi aina zote, mayai, chipsi, mihoo, chapati.

ii). Matunda: Usile maembe, macungwa, mapesheni, machenza na matunda yenye acid au yanayozalisha gesi.

iii). Usinywe pombe aina oyote ile wala soda yoyote, Pia epuka kutumia vinywaji baridi sana, mtindi, uji wa ulezi, majanin ya chai, kahawa, magadi.

iv). Usitumnie dawa zenye Acid/Sulphar wala Caffeine.

v). Usivute sigara wala kutumia ugoro, kuberi, tumbaku.

4.VYAKULA VINAVYOFAA KUTUMIWA

ASUBUHI: Chai ya sopya au majani shamba (mchaichai).

VITAFUNIO: Mkate laini, maandazi laini na vitumbua.

MCHANA/JIONI: Ugali, vizai mviringo vya kuchemsha, tambi, chipsi kavu.

MBOGA: Nyama aina zote ziliwazo, samaki aina zote waliwao isipokuwa dagaa na mboga za majani zisizo na acid kama vile kabeji majani ya maboga, bamia.

MATUNDA: Tango, papai, tikitimaji.

VINYWAJI: Maji, maziwa juisi ya karoti.

ANGALIZO

WAGONJWA wenye Duonel Ulcer tu wasitumie vyakula vya kukangwa wala maziwa ya aina yoyote hadi watakapomaliza dozi.

NB: Mgonjwa asikae na njaa kabisa katika Kipindi chote akiwa katika dozi, wala asile vyakula vyote ulivyozuiliwa kutumia ambavyo kitaalam vimeonekana vina zalisha Acid na gesi kwani kwa kula vyakula hivyo husababisha ucheleweshaji au kuzuia uponyaji wa vidonda.

5. WATU WANAOISHI NA HIV

Wenye vidonda vya tumbo ambao wamethibitika kuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI, wanatakiwa kumweleza ukweli Daktari ili wapewe dawa tofauti na inaweza kuwasaidia kutokna na tatizo lao.

Hata kama watakuwa katika hali mbaya ya kuharisha na kutapika mara baada ya kutumia dawa, hufunga kuharisha mara moja na afya yake hubadilika. Pia kama mgonjwa hakuwa na hamu ya kula atapata hamu ya kula pia afya yake itabadilika ndani ya uma moja tu yani siku 7 baada kuanza kutumia dawa.

Afya yake itabadilika kwa kiwango kikubwa cha kushangaza na tatizo la vidomda litakwisha kabisa.

YANAYOWEZA KUJITOKEZA KIPINDI CHA DOZI

DAWA aina madhara kwa mtumiaji, isipokuwa kama tumbo lako ni chafu dalili hizi zawea kuonekana pindi utumiapo dawa kwa mara ya kwanza. Dalili hizo ni tumbo kuvurugika, kuja gesi, kujamba kukifuatiwa na kuharisha. Pia waweza kuchoka au kuumwa kichwa kwa mbali, kutoka jasho na kupata choo kidogo mra kwa mara.

Pia watu 5 kati ya 100 (5/100) hutapika mara mara ya kwanza wanapotumia dawa. Hiyo usihofu unapotokewa na hali hiyo kwani hizo ni dalili nzuri kuonyesha dawa zinafanyakazi vizuri haa kwa mgonjwa mwenye tumbo chafu.

NITAPONA BAADA YA MUDA GANI?

KWA upendo wa Mungu uponyaji huanza mara moja baada ya kuanza kutumia dawa kwa mara ya kwanza. Hii ina maana kuwa jioni ya siku ya kwanza tangu ulipoitumia utaanza kujisikia vizuri na huwezi kuamka kesho yake ukiwa na maumivu makali ya vidonda vya tumbo.

Kwa wale ambao watachelewa sana baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, basi baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, huwa sio rahisi kwao kuendelea kuhisi maumivu ya vidonda vya tumbo kama ilivyokuwa awali.

Pia wale ambao ni sugu na vidonda vyao vilikuwa na magamba au uchafu, watahisi maumivu makali zaidi wakati uchafu/magamba yanapotoka katika vidonda. Mgonjwa Mwenye hali hiyo anatakiwa kurudi kwa daktari kupata dawa nyingine.

JINSI YA KUHIFADHI DAWA

Hifadhi dawa mahali penye baridi yaani kwenye friji kwani dawa ikikaa katika friji kwani dawa ikikaa sehemu isiyo na baridi uharibika baada ya sa kadhaa.

Kumbuka kumshukuru Mungu kabla na bada ya kutumia dawa na kupata uponyaji. Elewa kuwa mimi ni chombo tu, mwenye vipuri vya mwili wako ni Mungu pekee.

MAWASILIANO ZAIDI

Piga simu na. 0784 338 513
0754 411 119
0786 618 080
Email:fiterawa@gmail.com
 
Sijui kama umeshawahi kupima ukagundulika kwamba ni vidonda vya tumbo, ninachofahamu mimi ni kwamba vidonda vya tumbo vinatibika, sio chronic disease kama watu walivyokuwa wanafikiri zamani. Saa nyingine unaweza kuwa na tatizo jingine ukafikiri ni vidonda vya tumbo, so vyema ukapima uwe na uhakika ni vidonda vya tumbo then upate matibabu ya uhakika. Muhimbili wanafanya kipimo kinaitwa gastroscopy, hiki kitaweza kugundua tatizo lolote lililoko kwenye njia ya chakula, iwe vidonda (ulcers), michubuko (gastritis, duodenitis), iwe hernia (hiartus hernia) au hata cancer nk. Muhimbili kuna daktari bingwa wa Magonjwa haya anaitwa Dr Ewaldo, ni mzuri sana kwa matatizo ya vidonda vya tumbo na matatizo mengine ya mfumo wa chakula (gastroenterology). Nina uhakika atakusaidia, ukihitaji contacts zake ni PM nitakupatia.

Matibabu by the way yapo ya aina kuu mbili, ya kutumia dawa ambapo unapewa triple therapy, mchanganyiko wa dawa tatu, utapewa cimetidine au omeprazole ( yoyote kati ya hizi - hizi ni antiacids ambazo zitakusaidia kupunguza utengenezaji wa acid na hivyo vidonda vitakauka) utachanganyiwa na antibiotics (metronidazole au secnidazole pamoja na amoxicilline) ambazo zinasaidia kuua vimelea aina ya Helicobacter pylori ambao ndio vimelea vinavyoaminiwa kusababisha vidonda vya tumbo. Regime za triple therapy ziko nyingi lakini kwa Tanzania hii nilokupa ndio inatumika zaidi kwa kuwa ni cheap, availabe na effective. utapewa hizo antibiotics kwa siku 10 na antiacids kwa siku 14 mpaka 21. Kama dawa inashindikana unafanyiwa upasuaji na unapona kabisa, upasuaji maarufu ni ule wa vagotomy. Zaidi ya dawa na upasuaji utahitaji pia upate dietary couselling, upunguze spicy foods, na vyakula vyote ambayo vinaongeza uzalishaji wa gas tumboni.

Ningekushauri uanzie hospitali then ukiona unashindwa uende kwa dr Rahabu na wengine wa aina yake. Lakini naamini hospitali watakusaidia. Na pia internet materials za matibabu ni nzuri kwa kupata knowledge lakini usizitegemee kwa kuwa nyingi hazina quality control na kila mtu yuko huru kuandika chochote anachopenda, lakini kikubwa zaidi nyingi zinabase kwa materials na research za ulaya na marekani vitu ambavyo most of the time havipo applicable kwa mazingira yetu. Hivyo ni bora unapokuwa na matatizo just google whatever you want to know but please tafuta ushauri wa kitaalam kwa mtaalamu aliyekaa darasani kusomea hayo mambo na utapata msaada bora zaidi.(should be local specialist), ndio maana hata madakatri wa ulaya wanaokuja kufanya kazi afrika ambazo sio za upasuaji ( upasuaji ni universal discipline) wanasoma tropical medicine.

Pole sana. Hope niloyaandika hapa yatakusaidia
 
Nadhani pia kwa umri wako wa miaka 69, kama umekuwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu...basi pia uombe ufanyiwe kipimo kinaitwa OGD (OesophagoGastroDuodenoscopy) ambacho kinamuwezesha daktari kuona njia yako ya chakula mpaka baada ya tumbo kidogo na pia kutoa kinyama (biopsy) kama kutakuwa na mashaka ya kivimbe chochote kilichofuatia vidonda hivyo. Tafadhali usiende kwa Dr Rahabu kabla ya kufanya kipimo hicho kujua kama vidonga vyako havijaendelea kiasi cha kukusababishia uvimbe wa tumbo.
 
Sunday, February 14, 2010

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA

RAHABU ULCERS CENTRE IPO BUGURUNI PETROL STATION (SHELLY), JENGO LA KIOMBOI KISIRIRI PHARMACY, GHOROFA YA KWANZA JENGO LINATAZAMANA NA SHULE YA MSINGI BUGURUNI

Rahabu Ulcels Clinic Centre ni ya kwanza duniani kugundua dawa halisi ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Fiterawa na kliniki imesajiliwa na Msajili wa Makampuni Tanzania kwa hati namba 159505.
Dawa imethibitishwa na Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Kitengo cha Tiba Asili kwa hati yenye kumbukumbu namba ITM/CB/II/12-NOV.08. Pia imethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa haina madhara kwa mtumiaji kwa kumbu. Na. 341/Vol./XII.

Dawa hii tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1998 imetibu na kuponya zaidi ya wagonjwa 500,000 hadi hivi sasa wa vidonda vya tumbo kutoka ndani na nje ya nchi.

NITAJUAJE KAMA NINA VIDONDA VYA TUMBO?

1). Njia iliyo sahihi na nzuri zaidi ni kupima kwa kutumia daktari wa kutumia kipimo kiitwacho Barium Meal X-Ray (Endoscopy).

DALILI ZA UGONJWA WA TUMBO

II). Dalili zitakazokufanya ujihisi vidonda vya tumbo ni kuchoka choka sana bila sababu maalum, mgongo kuuma (kiuno), kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia, kizunguzungu, kukosa usingizi, usingizi wa mara kwa mara. Maumivu makala sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.

Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali (Heart burn). Dalili zingine ni kichefuchefu, kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuwaka moto, maumivu makali sehemu kilipo kidonda, kukosa choo, na kupata kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kma mbuzi (Constipation) shida ya choo.

Kutapika nyongo, kutapika damu au kuharisha, sehemu za mwili kupata ganzi n.k. Pia dalili zingine ni kukosa hamu ya kula, kula kupita kiasi, kusahahu sahau na hasira. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya umbo hasa kwa mgonjwa sugu (Chronic Desease) kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia kizima.

1. MANDALIZI YA DAWA

Koroga dawa hadi ichanganyike vizuri, yaani usibaki mgando wowote cini ya chombo. Kabla ya kutumia dawa hakikisha umekula, kisha subiri baada ya dakika 45 baada ya ula ndio unywe dawa.

2. MATUMIZI

*Kunywa glasi mbilio (tumia glasi yenye ujazo wa Ml 350) kwa kutwa glasi 2x2 kwa muda wa siku 3-6.

*Kisha acha kunywa kwa siku saba na rudia tena kunywa mfululizo kwa siku 3-6.
Baada ya hapo acha kunywa kwa siku 30 yani mwezi mzima, kisha rudia tena kunywa kwa siku 3-6.

Kisha utaendelea na masharti ya chakula kwa miezi miwili (2) yaano siku 60. Baada ya hapo utaruhusiwa kula aina zote za vyakula. Pia baada ya uo muda kapime katika hospitali yoyote kama unataka kuthibitisha uponaji kwani utakuwa umepona kabisa.

MASHARTI YA VYAKULA WAKATI UNATUMIA DAWA

i). Vyakula: Usile maharage au nafaka yoyote jami ya und, wali, nyanya, pilipili, ndimu, mchicha, isamvu, majani ya kunde, ndizi aina zote, mayai, chipsi, mihoo, chapati.

ii). Matunda: Usile maembe, macungwa, mapesheni, machenza na matunda yenye acid au yanayozalisha gesi.

iii). Usinywe pombe aina oyote ile wala soda yoyote, Pia epuka kutumia vinywaji baridi sana, mtindi, uji wa ulezi, majanin ya chai, kahawa, magadi.

iv). Usitumnie dawa zenye Acid/Sulphar wala Caffeine.

v). Usivute sigara wala kutumia ugoro, kuberi, tumbaku.

4.VYAKULA VINAVYOFAA KUTUMIWA

ASUBUHI: Chai ya sopya au majani shamba (mchaichai).

VITAFUNIO: Mkate laini, maandazi laini na vitumbua.

MCHANA/JIONI: Ugali, vizai mviringo vya kuchemsha, tambi, chipsi kavu.

MBOGA: Nyama aina zote ziliwazo, samaki aina zote waliwao isipokuwa dagaa na mboga za majani zisizo na acid kama vile kabeji majani ya maboga, bamia.

MATUNDA: Tango, papai, tikitimaji.

VINYWAJI: Maji, maziwa juisi ya karoti.

ANGALIZO

WAGONJWA wenye Duonel Ulcer tu wasitumie vyakula vya kukangwa wala maziwa ya aina yoyote hadi watakapomaliza dozi.

NB: Mgonjwa asikae na njaa kabisa katika Kipindi chote akiwa katika dozi, wala asile vyakula vyote ulivyozuiliwa kutumia ambavyo kitaalam vimeonekana vina zalisha Acid na gesi kwani kwa kula vyakula hivyo husababisha ucheleweshaji au kuzuia uponyaji wa vidonda.

5. WATU WANAOISHI NA HIV

Wenye vidonda vya tumbo ambao wamethibitika kuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI, wanatakiwa kumweleza ukweli Daktari ili wapewe dawa tofauti na inaweza kuwasaidia kutokna na tatizo lao.

Hata kama watakuwa katika hali mbaya ya kuharisha na kutapika mara baada ya kutumia dawa, hufunga kuharisha mara moja na afya yake hubadilika. Pia kama mgonjwa hakuwa na hamu ya kula atapata hamu ya kula pia afya yake itabadilika ndani ya uma moja tu yani siku 7 baada kuanza kutumia dawa.

Afya yake itabadilika kwa kiwango kikubwa cha kushangaza na tatizo la vidomda litakwisha kabisa.

YANAYOWEZA KUJITOKEZA KIPINDI CHA DOZI

DAWA aina madhara kwa mtumiaji, isipokuwa kama tumbo lako ni chafu dalili hizi zawea kuonekana pindi utumiapo dawa kwa mara ya kwanza. Dalili hizo ni tumbo kuvurugika, kuja gesi, kujamba kukifuatiwa na kuharisha. Pia waweza kuchoka au kuumwa kichwa kwa mbali, kutoka jasho na kupata choo kidogo mra kwa mara.

Pia watu 5 kati ya 100 (5/100) hutapika mara mara ya kwanza wanapotumia dawa. Hiyo usihofu unapotokewa na hali hiyo kwani hizo ni dalili nzuri kuonyesha dawa zinafanyakazi vizuri haa kwa mgonjwa mwenye tumbo chafu.

NITAPONA BAADA YA MUDA GANI?

KWA upendo wa Mungu uponyaji huanza mara moja baada ya kuanza kutumia dawa kwa mara ya kwanza. Hii ina maana kuwa jioni ya siku ya kwanza tangu ulipoitumia utaanza kujisikia vizuri na huwezi kuamka kesho yake ukiwa na maumivu makali ya vidonda vya tumbo.

Kwa wale ambao watachelewa sana baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, basi baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, huwa sio rahisi kwao kuendelea kuhisi maumivu ya vidonda vya tumbo kama ilivyokuwa awali.

Pia wale ambao ni sugu na vidonda vyao vilikuwa na magamba au uchafu, watahisi maumivu makali zaidi wakati uchafu/magamba yanapotoka katika vidonda. Mgonjwa Mwenye hali hiyo anatakiwa kurudi kwa daktari kupata dawa nyingine.

JINSI YA KUHIFADHI DAWA

Hifadhi dawa mahali penye baridi yaani kwenye friji kwani dawa ikikaa katika friji kwani dawa ikikaa sehemu isiyo na baridi uharibika baada ya sa kadhaa.

Kumbuka kumshukuru Mungu kabla na bada ya kutumia dawa na kupata uponyaji. Elewa kuwa mimi ni chombo tu, mwenye vipuri vya mwili wako ni Mungu pekee.

MAWASILIANO ZAIDI

Piga simu na. 0784 338 513
0754 411 119
0786 618 080
Email:fiterawa@gmail.com

kwa wale wote wenye vidonda vya tumbo wamuone huyu dada wa kimsai Rahabu na tatizo hili litakuwa history kwao, mama yangu alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na kisukari wasamaria wema wakamwelekeza kwa huyu dada wa kimasai ( kwa tatizo la vidonda vya tumbo) nakumbuka ilikuwa sept 2010 ilimghalimu kama 300,000/ Tsh kwa muda wa miezi 3 na tatizo la vidonda vya tumbo likaisha kabisaa kwa hivi sasa bado ana tatizo la kisukarii tuuu inshalaa na lenyewe litaishaa tuu

namba za huyu dada wa kimasai ni 0754-411119
 
Hii ya mkojo naweza kujaribu. Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikiumwa macho nilikuwa natumia mkojo kunawa, mara moja tu napona. Yaani mimi vidonda vya tumbo vimeweka kambi. Dawa ya feterawa nimetumia lakini wapi. Kuna kipindi nilitumia cimetidine nikapona na nikawa nagonga bia, harage n.k. Vilikuja kurudi kwa kasi, nikatumia cimetidine but wapi, dawa za kienyeji nimebadilisha kama tano hivi. Maumivu makali kweli tumboni na kifuani kama vinawaka moto. Kuna daktari kaniambia nikapime next week ila nisile nyama siku tatu kabla. Nikikuta bado ni ulcers nitatumia mkojo na hope nitapona.
 
Mhhh duh hii ya kunywa mkojo wako asubuhi inabidi kutafakari zaidi.Napata picha wale njemba wapendao kushuka chumvini uhenda wakawa hawana matatizo ya vidonda vya tumbo au kuumwa na jino????? Halikdhalika wadada wanaopenda lambalamba wawe wanahakikisha kuwa wanalamba mara baada ya njemba kutoa haja ndogo?????/Teh teh teh hapa JF kuna wakati mzaa unapitiliza!!!!!!!
 
Sidhani kama kuna mzaha hapa mkuu, wewe ndo unaleta mzaha. Hii ya kunywa mkojo nadhani ina ukweli fulani. Nitauliza madaktari live
 
wakuu habari za leo, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo tangu mwaka 1993 alipo pima na kugundulika kuwa ana matatizo hayo.
ombi langu kwenu kama kuna mtu nafafahamu dawa ya vidonda vya tumbo hata kama ya kienyeje naomba msaada wenu wa wapi inapatikana na kiasi gani. alisha tumia dawa za aina mbalimbali mpaka ile dozi kubwa ya HELIGO KIT, lakini bado.
naomba msaada wenu
Thanks

Kuna dawa nilitumia mimi na nikapona!
Kwa kikurya inaitwa "matotonia maiso",...ni kama majani flan hivi,waswahili wanaita vinasa nguo,..ukitembea kwenye nyasi kama yapo basi yanatoa vidude flani hivi vina nasa nguo kwa wingi!

Sasa basi,unachuma najani yake,unayatwanga kisha una loweka kwa masaa kama ma2 hivi!
Kunywa kama unakunywa maji,hata ukihisi kiu tumia kama maji ya kunywa tu!
Kila dawa unayo andaa itumike ndani ya siku hiyo pekee,ndani ya week1 kama vidonda sio vikali sana vitaisha,au kama ni vikali ongeza hata week2 au tatu!

Onyo:
1.ni majani na sio mizizi,mizizi yake ni tiba ya kitu kingine na sio vidonda vya tumbo!
2.usi chemshe,(ukichemsha ni dawa ya kitu kingine),..loweka tu
 
Kuhusu kutumia mkojo. Nimejaribu ku-google nikakutana ni hii information kwenye net

Urine, urea and liver cancer:
urine_image12.gif

Another important ingredient that urine contains is urea. Scientists estimate that 25% of the urea in an adult finds its way into the intestines, where it is decomposed into ammonia by intestinal bacteria. Some of this ammonia ends up in the liver, where part of it is converted into urea, and another part is converted into glutamine, an extremely useful amino acid. Because of its healing effect on ulcers and wounds in the intestinal canal, glutamine is essential in the maintenance and construction of specialized tissue, such as in the brain, the small intestine and in the growth and activity of the mucous membrane of the intestinal canal. The most important function of glutamine, though, is its ability to strengthen the immune system, and could be an important key in explaining why urine therapy is such a successful method of treatment. Another noteworthy application of urea can be found in the treatment of cancer by Professor Evangelos Danopoulos, who used urea in treating breast cancer, liver cancer, and several other kinds of cancer......

Kwahiyo ni kweli mkojo ni tiba ya magonjwa mengi ila yataka moyo kuunywa jamani.
 
Wasiwasi wangu ni kama kuna side effects. Pili tuuite ni dawa ya kienyeji au kitalaam kama zilivyo dawa nyingine kama cimetidine
 
castle pole sana.nakuomba jitahidi kumpigi Dr.Rahabu yupo pale BUGURUNI;
0784338513.
akipona urudi kuwashukuru jf.
 
wakuu habari za leo, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo tangu mwaka 1993 alipo pima na kugundulika kuwa ana matatizo hayo.
ombi langu kwenu kama kuna mtu nafafahamu dawa ya vidonda vya tumbo hata kama ya kienyeje naomba msaada wenu wa wapi inapatikana na kiasi gani. alisha tumia dawa za aina mbalimbali mpaka ile dozi kubwa ya HELIGO KIT, lakini bado.
naomba msaada wenu
Thanks

NiPM nitakuelekeza wapi aende huyo ndugu yako. Atapona ndani ya wiki moja tu. Mimi nilisumbuliwa kwa miaka minane na ndani ya wiki moja nikawa safi. Mpaka sasa nakula vyakula vyote bila matatizo.
 
Tumia bio water yalliyo na uvuguvugu glass 3 asubuhi kabla ya kula chochote wala kupiga mswaki . Maji hayo yanatengenezwa na bio disc
unique
 
Back
Top Bottom