Ufugaji wa Sungura

Nasri39

Member
Jul 19, 2021
15
19
Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini napoteza.
 
Unaandika Kibembe kwani unafikiri sisi wote ni Wacongoman?
 
Sawa nimekupata ndug kwanza kabisa Ina bidi kujuwa sungura anakufa kwa nin au dalili gani unaziona kwa sungura wako hii ninjia nzuri itakufanya kukabiliana na magonjwa.

Kitu Cha kwanza ni hali ya hewa na usafi wa Banda pamoja na chakula mwisho chanjo tuanze hali ya hewa Ina shauriwa badanda ya sungura ya c angalie upepo unapotoka ili waweze kujikingia na upepo pamoja na bakteria wanao kuwa ndani hewa. Usafi nikitu muhimu sana katika maisha yetu na mifugo yetu kwa upande wa sungura inashauliwa kuwajengea Banda la sakafu ya nyavu ili anajisaidia uchafu unashuku chini na wew unakufanya uweze kufanya usafi vizuri.
Chakula nikitu muhimu katika afya zao hapa una shauliwa sungura uwape Maja yalio nyauka au makavu na usiwape majani mabichi pia wape mboga za majani Safi na zisiwe na umande mwishu unaweza kuwa nataka Kama maundi mtama ngano njugu mawe na chakula Cha madukani pellet za sungura au kuku grolmasha c vizuri kiafya kumrisha pumba

Mwisho Kama ujalizika hapo unaweza kunitafuta 0627151094
 
Back
Top Bottom