muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Habari! nahitaji vifaranga vya kambale. Je naweza pata hizo contact?
uko wapi... nicheki kwa ajili ya vifaranga vya kambale.. 0717451771
Habari! nahitaji vifaranga vya kambale. Je naweza pata hizo contact?
Wadau ninapenda sana kufuga samaki na hii ni baada ya kuambiwa kua ufugaji huu unalipa sana...... Mwenye ujuzi wa ufugaji wa samaki plzzzz
bei ikoje?uko wapi... nicheki kwa ajili ya vifaranga vya kambale.. 0717451771
Uzi kama huu upo stick kwenye page ya mwanzo.ungejazia pale
Hope moderator watafanya hivyo
Au anaejua wachimba hayo mabwawa wazuri naomba aniambie maan nataka nianze mradi wa ufugaji samaki
Nimepnda je wajua gharama za kuchimba hyo mabwawa
Jamani ambaye anafuga atupe uzoefu nasi tujaribu
Unataka kujaribu au kufanya mkuu?
Kufanya kabisa kama bajeti itakuwa ndani ya uwezo wangu
Ukijipanga vizuri utaweza tu mkuu.