sato

  1. BwanaSamaki012

    Kwa wale wapenzi wa ufugaji wa Samaki, Vifaranga vya Sato vinapatikana

    Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina ya Sato (Nile Tilapia) Mbegu zetu ni nzuri Sana kwanza kabisa wana-uniform size, samaki wanakuwa...
  2. BwanaSamaki012

    Tunazalisha mbegu Bora ya Samaki (Sato)

    Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo; ✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka ✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi ✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions ✓ Wanakula...
  3. BwanaSamaki012

    Tunauza Samaki aina ya Sato

    Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture experts, mabwawa yetu ni concrete pond hivyo samaki wetu Wana radha nzuri na muonekano mzuri Sana...
  4. nyboma

    UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  5. BwanaSamaki012

    Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

    Hello ladies and gentlemens? Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh) Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1. Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
  6. K

    Wizara ya Mifugo & Uvuvi wekeni viwango samaki wa maji baridi hasa Sato

    Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua kwa kujiaminisha wanatoka ziwa Victoria. Tatizo kubwa ni kwamba huu sio ukweli. Samaki wengi wa sato...
  7. M

    Soko la sato wa kufuga

    Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
  8. N

    Sato bei poa kulingana na uzito

    Tunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali. Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini...
  9. S

    Naomba ushauri kuhusu ufugaji samaki aina ya SATO

    Jamani hodi humu. Iko hivi, nategemea kuingia ufugaji wa samaki aina ya Sato. Nimeshafanya upembuzi yakinifu kuhusu gharama za ujenzi wa bwawa, na bei za vifaranga. Bajet ya maji tayari ninayo ya kumwaga tu 24/7. Kilichobaki ni kuandaa bajet ya kuwalisha kwa miezi 6 au 7 hadi watakapofikisha...
  10. S

    INAUZWA Tunauza Samaki Sato kwa bei ya jumla, karibu kwa order

    Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria.. Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu. Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50. Bei: Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/- Malipo: Utalipia mzigo ukifishakufikia ulipo. Location: Tunapatikana, Banana Dar esalaam. Delivery: Tunafanya...
  11. THE SHADOW ONE

    Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

    Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu. Sato kg. 1 @ tsh. 8000 Sangara kg. 1 @ tsh. 7000 Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na...
  12. L

    Bei ya nyama inaweza na Sato

    Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau. wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana...
  13. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
  14. Parabora

    Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    Namtafuta supplier wa samaki aina ya sangara na sato kutoka Mwanza, nahitaji kufahamu mambo haya kutoka kwake 1. Bei ya kilo moja kwa sato na sangara kwa jumla samaki wakiwa mwanza ili na mimi niwauze kwa jumla nikiwa Dar. 2. Namna watakavyozipack katika vifurushi na kuzigandisha kabla ya...
  15. Fish Deliver

    Wakuu nauza samaki wa mwanza bei maelewano

    wakuu kama nilivyojiekeza hapo juu nauza samaki kutoka mwanza popote ulipo nakutumia Tanzania na nje ya Tanzania, bei maelewano nicheck kwa namba 0744420666 voda,0653842347 tigo,0625937918 halotel.
Back
Top Bottom