Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Wengi hutumia OIL chafu katika kupaka miti ili isibunguliwe na mwadudu wa aina yoyote japo watu wa mazingira wanapiga vita sana hii kitu ,il ani njia nzuri sana kupambana na wadudu wala miti hasa mchwa....ndugu Kubota na jamii ya wafugaji kuku kwa jumla, ninajiandaa kufuga kuku kuanzia august, krismas nataka kula kuku live kutoka bandan.
mwez ujao najenga banda la miti lililokandikwa na udongo, na kuezekwa na makuti, milango ya bati, itakuwa na chemba tatu 1 kulala na kuatamia, wakitotoa wanamishiawa geto namba 2 na vifaranga vyao, geto la 3 ni Jela.
sasa mchwa ndio shida eneo hili nahis watadondosha banda ndan ya siku 180, je kuna dawa ya kupaka mchwa wasile iyo miti ya banda?
Ila kama utataka kwenda kitaalamu kuna madawa ya dukani yanapatikana maduka ya mifugo ya kuzuia mchwa japo ni gharama sana...