malila umetumia akeri powder kupambana na utitiri?
mimi nimefurahishwa sana na michango yenu humu. mbarikiwe nasoma na mie nijifunze I guess isku moja nitaanza nina hamu ila sijui nianzie wapi. Ushauri?
Mimi nina vifaranga vya kuku wa kienyeji wa siku 30 na kuendelea nauza Tshs 2,500 kimoja kuna matetea na vijogoo nakuletea hadi bandani kwako kwa wanaoishi Dar, nipigie 0717498932.
kiongozi big up kwa mawazo mazur ya kujenga kuhusu siko la kuku hilo alina mjadara
kuwa kuku wa kienyeji wanasoka sana bt mimi nimekuwa intrest sana na hao kuku
wa mbeya ambao kiasir wanapatikana malaw lakini was was wangu je hali ya hewa
aiwez ikawa kikwazo kwa hapa dar? coz mbeya barid sana
pili standard ya kuanza kufuga ni kuku wa umri gani? mean vifaranga kabisa
je vinapatikana wap iv vya mbeya
acha biashara hiyo itakupa hela mbuzi ndugu yangu.....usilenge kimo cha chini.....
Hizi ndo biashara za kufanya.....angalia video hiyo.
Les Brown - Prosperity Central Opportunity
acha biashara hiyo itakupa hela mbuzi ndugu yangu.....usilenge kimo cha chini.....
Hizi ndo biashara za kufanya.....angalia video hiyo.
les brown - prosperity central opportunity
Asante sana ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri, hayo yote uliyo niambia ni mambo ya msingi ambayo ninayazingatia na pia baadhi naendelea kuyapatia information za kutosha, ikiwemo humu ndani ya JF .Ningeomba kujuzwa mikoa ambayo nitawapata hao kuku kwa bei nzuri kwani mimi nia na madhumuni ni kutaka kuwa na supply hapa jijini kwa mahoteli pia na watu binafsi, nataka kuanza na kuuza kwa rejareja na pia kuwa nafanya delivery kwa wateja wa jumla pia, so i want to get started within this November coz nipo kwenye final stages.Ellie,
Ni wazo zuri sana, kwani hata Senior manager anachokuambia ni sawa lakini kwa mazingira ya kwetu ambapo internet ni shida na zaidi haya makampuni yanayofanya HOME BASED BUSINESSES yako USA na nchi nyingi za ulaya. Na utakapotaka kujiunga watataka utoe kiasi fulani kwa ajili ya registration na mbaya zaidi sometimes they do conduct workshop/training through internet and assumming that most of the people engage in such business are living in USA.
USHAURI WANGU; Endeleza hilo wazo lako, kwani tayari umeonyesha nia ya kufanya hiyo biashara na naamini utakuwa umezingatia yafuatayo kabla ya kuanza biashara rasmi;
1. je mtaji wa kuanzia
2. je soko lako, wapi na wakina nani utakuwa unawauzia na wapi? na je uwezo wao wa kununua kuku wangapi? na kwa bei gani?
3. gharama ya usafiri toka unakowanunua mpaka kwenye soko
4. je, utaweza kununua kuku wangapi mara moja na je wapo supplier wa kutosha?
Mimi nakutia moyo, nenda kafanye hiyo biashara ya kuku kama utazingatia hayo mambo pamoja na mengineyo ya msingi ili uweze kuwa na tahadhari.
All the best.