Eng. SALUFU CA
Senior Member
- May 12, 2010
- 145
- 16
haya ndiyo maneno sasa, ngoja tuingie mzigoni. Theory ya Rich daddy and poor daddy iendelee kufanya kazi vizuri ili tusiwe watumwa wa pesa bali pesa zitutumikie sisi.
Mkuu Elnino na wote mnaotutamanisha,ni bora basi mkatufungua macho na kuhusu ups and downs za hii project.Hebu cheki hiyo PDF nafikiri itafunguka bila matatizo.
Hata mimi nimesikia toka kwa mtu wa kuaminika. Ni-pm ili nikupe namba zake akuelekeze,si vizuri kuweka hapa simu ya jamaa,ata-mind kidogo. Wazo la pili ni kununua incubator yako mwenyewe ndogo ili utotoleshe mwenyewe.Jamani asante sana kwa maelezo yenu, mie sina uzoefu na hao layers nimeshukuru sana, na naweza kujaribu kidogo kwa kuanzia,
Swali langu je hao wa kienyeji hakuna vifaranga? pia kuna watu wanasema Ruvu JKT wanawauza ila sina contact na sijapata muda wa kwenda huko, kuna yoyote anayejua hili?
Hata mimi nimesikia toka kwa mtu wa kuaminika. Ni-pm ili nikupe namba zake akuelekeze,si vizuri kuweka hapa simu ya jamaa,ata-mind kidogo. Wazo la pili ni kununua incubator yako mwenyewe ndogo ili utotoleshe mwenyewe.
Jamani asante sana kwa maelezo yenu, mie sina uzoefu na hao layers nimeshukuru sana, na naweza kujaribu kidogo kwa kuanzia,
Swali langu je hao wa kienyeji hakuna vifaranga? pia kuna watu wanasema Ruvu JKT wanawauza ila sina contact na sijapata muda wa kwenda huko, kuna yoyote anayejua hili?
Asante Elnino kwa kutuhabarisha, unajua kweli kitu usichokijua utawaza vile tulivyofanya majumbani kizamani wale wa kwenda kuchakura chakula chao, sasa kwa level ya shambani unawaza inakuwaje upate wengi wa kuanzia, kumbe mikoani? maana majike ya huku Dar au Pwani mpaka anauzwa keshachoaka kutaga ambao nilaiwaza hawafai. Basi nitaangalia huu ushauri pia.Tatizo wana Jamii wengi hawajawahi hata kufuga kuku hata mmoja enzi za utoto wao, sasa inakuwa taabu kweli kweli kuwasaidia mawazo how to go about it.
Mama Joe wala usihangaike kwenda Ruvu kutafuta vifaranga wa kienyeji - kama kweli umeamua kufuga kuku kwa nini usianze na majike 30 na majogoo 3 tu - bei ya hao ukiwapata toka mkoani itakugharimu sh 6,000 kila mmoja Jumla inakuwa 198,000/- Tshs.
Baada ya siku 60 hayo majike yatakuwa na vitoto average 10 kila mmoja = utakuwa na vifaranga 300. Utawanyan'ganya mama zao na kuviweka chumba chenye joto linalotakiwa na utawapa chakula na maji.
Utawaruhusu majongoo yaanze kazi yao after 2 months tena wanataga -- Simple circle!! - after 2 year's utakuwa na hao kuku zaidi ya 1000 unaowataka.
Mkuu Elnino na wote mnaotutamanisha,ni bora basi mkatufungua macho na kuhusu ups and downs za hii project.
Nasikiaga "kama sio uswahili" wafugaji wanalalamika kuwa kuku wamekufa,wameibiwa au sijui dawa zimezidi wamekufa etc -haya nadhani ndio yaliyomfanya muanzisha thhread kuanza na kajogoo 1 badala ya "kuku jike"
Nenda JKT Ruvu kuna kuku muruwa sana
Waweza pata jogoo mzuri kwa ajili ya mbegu lakini mpwa kama unataka mbegu zake kwa kweli sijui zinapatika wapi wala sijawahi kuziona!! labda mayai lakini mbegu!!! mmhh sijui
Kwa mujibu wa maelezo waliyonipa pale nanenane walisema ni wa kienyeji ila wao hutaga tu mayai hawaatamii. Ila mayai yao hutotolewa. Kwa msingi huo inawezekana kuna uchotarishaji unafaanyika.Hao wa Ruvu ni wa kienyeji au cross breed?
Kwa mujibu wa maelezo waliyonipa pale nanenane walisema ni wa kienyeji ila wao hutaga tu mayai hawaatamii. Ila mayai yao hutotolewa. Kwa msingi huo inawezekana kuna uchotarishaji unafaanyika.
wandugu salaam
Wapi nitapataa mbegu nzuzi za kuku wa kienyeji, hasa wakiwa chotara wanaotoa nyama ya kunona na mayai mazuri na mengi.
Asante.