Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,314
5,478
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.

Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya hazitavaliwa tena shuleni."

Aidha, Ufaransa imepiga marufuku alama za Kidini katika Shule n Majengo ya Serikali kwa maelezo kuwa zinakiuka Sheria.
---

France to ban female students from wearing abayas in state schools
Published

Students will be banned from wearing abaya, a loose-fitting full-length robe worn by some Muslim women, in France's state-run schools, the education minister has said.

The rule will be applied as soon as the new school year starts on 4 September.

France has a strict ban on religious signs in state schools and government buildings, arguing that they violate secular laws.

Wearing a headscarf has been banned since 2004 in state-run schools.

"When you walk into a classroom, you shouldn't be able to identify the pupils' religion just by looking at them," Education Minister Gabriel Attal told France's TF1 TV, adding: "I have decided that the abaya could no longer be worn in schools."

The move comes after months of debate over the wearing of abayas in French schools.

The garment has being increasingly worn in schools, leading to a political divide over them, with right-wing parties pushing for a ban while those on the left have voiced concerns for the rights of Muslim women and girls.

"Secularism means the freedom to emancipate oneself through school," Mr Attal told TF1, arguing the abaya is "a religious gesture, aimed at testing the resistance of the republic toward the secular sanctuary that school must constitute."

He said that he would give clear rules at the national level before schools open after the summer break.

In 2010, France banned the wearing of full face veils in public which led to anger in France's five million-strong Muslim community.

France has enforced a strict ban on religious signs at schools since the 19th Century, including Christian symbols such as large crosses, in an effort to curb any Catholic influence from public education.

It has been updating the law over the years to reflect its changing population, which now includes the Muslim headscarf and Jewish kippa, but abayas have not been banned outright.

Source: BBC
 
Wizara ya Elimu imetangaza Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza Mwaka mpya wa masomo wa Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali

Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia."

Pia, Ufaransa imepiga marufuku alama kubwa za Kidini katika Shule na Majengo ya Serikali kwa maelezo zinakiuka Sheria ya Nchi
 
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.

Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya hazitavaliwa tena shuleni."

Aidha, Ufaransa imepiga marufuku alama za Kidini katika Shule n Majengo ya Serikali kwa maelezo kuwa zinakiuka Sheria.
Huwa sijui kwanini. Hawa ufaransa huwa nawaona ni taifa lisilojielewa ni vile tu wenzetu walitangulia na wamezungukwa na Waridi.

Nakumbuka kipindi kile wameshinikizwa na waislam wakatunga sheria ya kuruhusu alama/mavazi yanayomtambulisha mtu kwa Imani yake tuliongea kuwa hawa wakiendekeza haya mashinikizo kwa kujifanya wana diplomasia itawagharimu huko mbeleni.

Tena kipindi hicho waziri wa elimu alikua ni mwanadada fulani mwenye asili ya kiarabu kutokea nchi za Afrika ya Magharibi

Sasa hivi tena wanatunga sheria ya kuifuta, yani wanayumbayumba tu kama machela iliyobebwa.
 
Back
Top Bottom