Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Duh mchungaji kapiga palepale atakua na shule kama sio masterz itakua phd
 
Police wajipange tena. Dr Ulimboka alitekwa usiku wa tarehe 26.6.2012. Na hao watu walimtesa hadi alfajiri ya tarehe 27.6.2012. Sasa huyo Mkenya alienda sasa ngapi kutubu kanisani tarehe hiyo 26.6.2012?

Ntaificha wapi aibu hii jamani
 
naonekana kuna watu wapuuzi wanamshauri Rais na ndio maana mambo yanayumba. Inawezekana JK amezungkwa na washauri wasiofaa. JK katika hotuba yake JK alisema serikali ni mtuhumiwa pia ya kumteka Dr Ulimboka na hivyo ni jambo la ajanbu mtuhumiwa kujipeleleza. Itafutwe tume huru kuchunguza jambo hili ili matokeo yaaminike
Call a spade a spade.
Kushauri vibaya?
Kikwete ana nini juu ya shingo?
jiwe? nazi?
Kama ni kichwa kwanini mseme anashauriwa vibaya?
All we see are his own handiwork!
Sipendi kusikia ati 'anapotoshwa!"
"anadanganywa" ye mtoto wa shule?
"anashauriwa vibaya"
Mnyika said it blankly "RAIS ni DHAIFU"
Urais sio sawa na nyumba ndogo ati!
 
Ni mtu wa kwanza Tanzania kutoa a very bold statement kuhusu swala la Ulimboka. Tunawahitaji watu wa aina hii.

Anasema mazingira yanaonyesha serikali ilihusika na kupigwa Ulimboka. Kama serikali inakanusha sii yenyewe haiwezi kujipepeleza yenyewe bali iteuliwe tume huru. Hata majibu yakitoka hayawezi kuaminika maana itakuwa ni taarifa ya mmoja wa watuhumiwa. Anasema hana nia ya kuipaka matope serikali bali kutoa ufafanuzi.

Msimamo wa kanisa
(i) Madaktari anawasihi mrudi kazini maana wanaoumia ni wananchi
(ii) Serikali iache ubabe. Madaktari ni watoto a serikali ila ubabe hausaidii kusuluhisha tatizo. Jambo la kufuta leseni halikubaliki na serikali iache mara moja.

Tanzania itakuwa salama, Tanzania itashinda ila wabaya hawatashinda. Mkenya hafahamu Makupande hivyo anaomba daktari Ulimboka arudi akiwa hai ili asaidie kuwajua waliohusika. Mwisho
 
yani ata mtoto hawezi kudanganywa kwa namna iyo
Kweli yesu akilud atachoma wengi sana,makanisa yanageuzwa sehem za kufanyia siasa
 
Hii series ni taaamu jamani sitaki kumisi.Dhaifu yuko nchi gani vile wampe haya. Najua hapo viwanjani tanganyika pekers usalama wapo kibao wametumwa wakashuhudie. Movie ya kova na dhaifu haijauzika ya mchungaji inawateja kibao.
 
Ni mtu wa kwanza Tanzania kutoa a very bold statement kuhusu swala la Ulimboka. Tunawahitaji watu wa aina hii.

Anasema mazingira yanaonyesha serikali ilihusika na kupigwa Ulimboka. Kama serikali inakanusha sii yenyewe haiwezi kujipepeleza yenyewe bali iteuliwe tume huru. Hata majibu yakitoka hayawezi kuaminika maana itakuwa ni taarifa ya mmoja wa watuhumiwa. Anasema hana nia ya kuipaka matope serikali bali kutoa ufafanuzi.

Msimamo wa kanisa
(i) Madaktari anawasihi mrudi kazini maana wanaoumia ni wananchi
(ii) Serikali iache ubabe. Madaktari ni watoto a serikali ila ubabe hausaidii kusuluhisha tatizo. Jambo la kufuta leseni halikubaliki na serikali iache mara moja.

Tanzania itakuwa salama, Tanzania itashinda ila wabaya hawatashinda. Mkenya hafahamu Makupande hivyo anaomba daktari Ulimboka arudi akiwa hai ili asaidie kuwajua waliohusika. Mwisho
Glory be to He-Who-Shines in Holiness.
 
tarehe 26 juni kuamkia juni 27. huyu mkenya alikwenda kwa Gwajima kabla ulimboka hajatekwa.
Penye uongo ukweli ujitenga hata ukijipanga vipi kuna sehemu utateleza.Sasa maswali ya kujiuliza kama ndivyo inamaana ya kua baada ya kichaa huyo kufikishwa kituo cha polisi 26.Juni wakamchukua usiku na kumpa majukumu ya kumteka Dr.Ulimboka???!!!!!!Hii stori ya Kova naifananisha na ile ya baharia ambae alisema ametembelea nchi nyingi akisafiri na meli,India miaka 10,Brazil miaka 11,Afrika ya kusini miaka 30,Zambia mika 12!Kwa vile Zambia hakuna bandari mmoja wa wasimuliwa akamuuliza kama anajua jiografia akajibu ya kua hapo Jiografia aliishi miaka 5!Baada ya kushindwa kuvumilia wakampa swali la mwisho unamika mingapi? kajibu nina mika 27!CCM na serikali pamoja na JK ndivyo wanavyoiendesha nchi kama huyo jamaa baharia.Majibu ya viongozi hawa wakati wote yanakinzana,Pinda anasema hili,JK anasema lile,Waziziri anasema linginelo kutofautiana kwa kauli zao jibu lake ni moja WANAYOZUNGUMZWA NI UONGO HAMNA MWENYE UHAKIKA NA ALISEMALO.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Uso wangu nitauweka wapi mie maskini nilidhani huyu nae ananunulika kama wale wa igunga na wale waliokodishwa waandamane kupinga mgomo wa madaktari; hivi wanaitwa akina nani vile? mmhh tatizo shule ila GWAJIMA umejijengea heshima kubwa sana na umemwinua MUNGU
 
Back
Top Bottom