Fatma Karume: Hatuna Haki ya Kulalamika Uzawa wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu amezaliwa Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Walikuwa na Haki ya kulalamikia Urais wa Mzee Mwinyi kwa sababu Katiba ya Nchi ya Zanzibar inasema Rais lazima awe Mzawa

Lakini hawana Haki ya kulalamikia Urais wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu ni Mzawa wa Zanzibar

Mwanasheria huyu nguli Africa ametoa Ufafanuzi huu kurasani X

Jumaa Mubarak
 
Kwani Fatma Karume ni mzanzibari?
 
Katiba ya Nchi ya Zanzibar inasema Rais lazima awe Mzanzibari wa kuzaliwa. Hence kuna fununu kuwa Hussein, kama baba yake, hakuzaliwa zanzibar.
aaah!!! sasa hapo umenifunua mkuu means kuna ujanja ujanja unetumika😀😀 lakn mwinyi raisi wa zanzbar s alizaliwa zanzbar ko hakuna shid yyte
 
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Walikuwa na Haki ya kulalamikia Urais wa Mzee Mwinyi kwa sababu Katiba ya Nchi ya Zanzibar inasema Rais lazima awe Mzawa

Lakini hawana Haki ya kulalamikia Urais wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu ni Mzawa wa Zanzibar

Mwanasheria huyu nguli Africa ametoa Ufafanuzi huu kurasani X

Jumaa Mubarak

Mpaka sasa bado kuna utata wa wapi alizaliwa Hussen Mwinyi ..... wakati wa uchaguzi kuna waliodai kuwa alizaliwa bara.
 
Yaan, Marehemu Rais wetu mzee Mwinyi ni m Tanganyika na ndie baba wa, Rais wa sasa wa Zanzibar. Ingawa mzee Mwinyi wazazi wake walihamia Zanzibar miaka ya 1800 baada ya mzee Mwinyi kuzaliwa. Utaona kuwa marehemu mzee Mwinyi alikulia Zanzibar na pia kuzaa watoto wake huko huko, ingawa asili yake ni Mkuranga Pwani Tz.
Watakuwa wamehamia 1920's siyo 1800's
 
Kina Mwinyi asili yake ni TANGA, Hata mkienda tanga usambaani kuna majina ya mwinyi mengi Sana.

Tumeongozwa na msambaa
 
Kila aliekuwa Zanzibar usiku wa Mapinduzi ya Jan 12 mwaka 1964 alipewa haki ya kuwa Mzanzibar kwa mujibu wa decree ya Hayati Mwamba Abeid Amani Karume

kuna kikundi cha Wahuni hakina shukran kabisa kwa Mzee Ally Hassan Mwinyi wakati aliwatoa kwny mkwamo mbaya sana kwny historia yao 1984 kati ya Makundi ya Seif Sharif na Aboud Jumbe Mwinyi

1970 Mwl Nyerere alitaka apewe majina mawili ya Vijana wa Kizanzibari ili ateuwe mmoja kuwa Waziri kwny Serikali ya Muungano, Mzee Abeid Karume katika majina aliyopeleka mojawapo lilikuwa la Mzee Ally Hassan Mwinyi so kama lawama za Mwinyi kuhesabika kama Mzanzibar basi apewe Hayati Abeid
 
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Walikuwa na Haki ya kulalamikia Urais wa Mzee Mwinyi kwa sababu Katiba ya Nchi ya Zanzibar inasema Rais lazima awe Mzawa

Lakini hawana Haki ya kulalamikia Urais wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu ni Mzawa wa Zanzibar

Mwanasheria huyu nguli Africa ametoa Ufafanuzi huu kurasani X

Jumaa Mubarak
Wabaguana wenyewe kwa wenyewe tukitafuta asili ya karume wallah atafunga mdomo "lafudhi ya kipemba"
 
Back
Top Bottom