Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

baba afrika

Member
Dec 11, 2015
85
90
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!
 
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi)

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini iraki(mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi( purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia adamu akapatikana eva kutokea kwenye ubavu wake.adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji.

Kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati .kumbuka kuwa katika edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi).

Adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim? Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.

So wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa MUngu juu ya kufanya uumbaji huo.ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.

Ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi.mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim.sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

kwakifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU.( kufurahia mti wa mema na mabaya).jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila.samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nhuvu zake.katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.ieleweke pia kunauhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya.bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya.so kitendo cha nyoka kumshawishi eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.
naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali,ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu .

Karibuni!
 
Maelezo safi mkuu Lakini swali langu je umewah pitia nadharia nyingine tofauti na hii ya Adam na hawa zipo nadharia kama Natural selection pia zipo zinazoeleza kuwa maisha katika planet hii yamefanywa kuletwa kutoka anga zingine hii ya Adamu ni safi kiasi japo ina madhaifu yake hapo katika Kumuelezea Mungu kuna point umeitaja kuwa Wakati wa kujamiana tunavaa uungu hio ni sawa kabisa lakini pia wakati wote tuna uungu ndani mwetu mana Mungu ni roho na Binadanu ana roho na body structure hivo nae ana uungu halisi ndugu
 
Maelezo safi mkuu Lakini swali langu je umewah pitia nadharia nyingine tofauti na hii ya Adam na hawa zipo nadharia kama Natural selection pia zipo zinazoeleza kuwa maisha katika planet hii yamefanywa kuletwa kutoka anga zingine hii ya Adamu ni safi kiasi japo ina madhaifu yake hapo katika Kumuelezea Mungu kuna point umeitaja kuwa Wakati wa kujamiana tunavaa uungu hio ni sawa kabisa lakini pia wakati wote tuna uungu ndani mwetu mana Mungu ni roho na Binadanu ana roho na body structure hivo nae ana uungu halisi ndugu
Yap mkuu nimesoma nadharia nyingi tu but nyingi mno zinamapungufu sana kwa maana hazielezi chanzo cha maisha halisi bali zinaeleza hatua za mabadiliko /evolution.
Pia katika uzi huu lengo langu lilikuwa ni kuchambua nadharia ya tunda la mti wa kati kati kwa kutumia mafundisho ya dini au makundi mbali mbali tofauti.so tukija kwenye swala la chanzo au chimbuko la binadamu nazani itabidi ufunguliwe izi mpya ili nadharia mbali mbali ziweze kuchambuliwa kwa kina.
 
Yap mkuu nimesoma nadharia nyingi tu but nyingi mno zinamapungufu sana kwa maana hazielezi chanzo cha maisha halisi bali zinaeleza hatua za mabadiliko /evolution.
Pia katika uzi huu lengo langu lilikuwa ni kuchambua nadharia ya tunda la mti wa kati kati kwa kutumia mafundisho ya dini au makundi mbali mbali tofauti.so tukija kwenye swala la chanzo au chimbuko la binadamu nazani itabidi ufunguliwe izi mpya ili nadharia mbali mbali ziweze kuchambuliwa kwa kina.
Sawa sawa kiongozi Tupo pamoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom