Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

Mbona nimewafafanulia kuanzia no 1 -13 polisi Non commissioner. Ni RCO na IGP ndo huwa wanapewa huo commissianer baada ya kuteuliwa. Salute ni utaratibu tu wa salama je vyeo vya uhamia mbona wanapigiana salute
 
Juzi katika hafla wakati Magufuli anamuapisha Waziri mkuu niliona mkuu wa Usalama wa taifa hakumpigia saluti magufuli, huku wenzake ( CDF, magereza, polisi nk ) wakiwa wamekunjuka saluti. Kwa nini ?[/QUOTE huwezi kupiga saluti ukiwa huna unifom...au ukiwa hujavaa sare
 
Mabishano na maelekezo mengi humu ni kama vile watu wanabishana eti Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya na yule wa Jii la Dar es Salaam nani mkubwa?
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi dhidi TAKUKURU.
Waziri wa Madini dhidi ya Kilimo.
Mkurugenzi wa Mashitaka dhidi ya Mkurugenzi wa Uwekezaji.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa dhidi ya Mkurugenzi wa NIDA.

Hapo hakuma seniority bali ni tofauti ya majukumu na previledges
 
CDF=Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (majeshi yote nchini)
IGP=Mkuu wa jeshi la polisi

Nadhani utakuwa umeelewa
 
Hawezi kuwa Sawa kicheo wala kimamlaka kwa sababu zifuatazo
Mosi,saluti ni ya mwenye mamlaka ya Dola hao wengine wote ni washenga.sawa Sawa na wangekuwa wakikutana wanaambiana Dola yetu adumu,Amani itawale ,rais wetu /mfalme/malkia tutamlinda ktk Raha na tabu,heshima ya taifa na utawala wetu udumu... Sasa kwa kua uaskri ni muda kurahisisha ndo saluti.
Pili,kimsingi wote wanapigiana saluti na kama inatokea mgeni kwenye tukio ndo anampigia mwenyeji.
Kuna jamaa alikua anaupia
mizinga saluti kila anapouona huyu alikuaga mmj...hoja kubwa anauheshimu ktk uwanja wa medani kwa hiyo kila anaona mzinga anausalimu.
Tatu ,hawawezi kulinganishwa kwa kuwa hata mafunzo na uniform zao tofauti.ila kiprotokali wote wanapewa kamisheni na rais yaani kwa umoja wao wanaitwa vyombo vya Dola.sawa Sawa ulinganishe shule ya kimataifa ya Tanganyika yaani IST na shule ya msingi mugabe.japo zote shule zina madarasa ya awali na madarasa ya juu.
Nne,mkubwa kutokana na tukio,mfano ukiwa vita tunalinda mipaka na Uhuru wetu tunatumia jwtz hivyo Askari wote watawajibika kwa cdf.
Tano,mkuu wa ulinzi na usalama ni Yule mwenye mamlaka ya kuingia kwenye majeshi ya wenzake akiwa amevaa uniform za majeshi ya wenzake au bila uniform na kafanya kazi.ambapo Kati ya hao uliwataja hayupo na wanamuogopa.


Mwisho raisi wa jmt akifika znz kwenye sherehe za mapinduzi .je yeye na rais wa znz Nani anakua mkuu?ukipata jibu basi umefanikiwa
 
Back
Top Bottom