Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 754
Wajuvi naomba ufafanuzi juu ya vifaa tajwa hapo juu yaani ipad,iphone na ipod!kwani nimeishiwa kuchanganyikiwa nisijue matumizi yake hasa ni nini?je zinafanya kazi kama simu ama ni vifaa tu vinatumika kuhifadhi mambo mabalimbali!Pia nimeona kuwa mtengenezaji wa hivyo vitu huwauzia au kutengenezea makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano kama simu na data,Je kama nataka kununua kutaka kutumia huku Tz kwenye mitandao ya kwetu inawezekana?