Ufafanuzi ipad,iphone,ipod

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Wajuvi naomba ufafanuzi juu ya vifaa tajwa hapo juu yaani ipad,iphone na ipod!kwani nimeishiwa kuchanganyikiwa nisijue matumizi yake hasa ni nini?je zinafanya kazi kama simu ama ni vifaa tu vinatumika kuhifadhi mambo mabalimbali!Pia nimeona kuwa mtengenezaji wa hivyo vitu huwauzia au kutengenezea makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano kama simu na data,Je kama nataka kununua kutaka kutumia huku Tz kwenye mitandao ya kwetu inawezekana?
 
The iPad is a line of tablet computersdesigned, developed and marketed by Apple Inc., primarily as a platform for audio-visual media including books, periodicals, movies, music, games, and web content.

what is tablet computer - A tablet computer, or simply tablet, is a complete mobile computer, larger than a mobile phone or personal digital assistant, integrated into a flat touch screen and primarily operated by touching the screen.

iPod is a line of portable media players created and marketed by Apple Inc. The product line-up currently consists of the hard drive-based iPod Classic, the touchscreen iPod Touch, the compact iPod Nano, and the ultra-compact iPod Shuffle. iPod Classic models store media on an internal hard drive, while all other models use flash memory to enable their smaller size (the discontinued Mini used a Microdrive miniature hard drive).

source - Google

I phone - ahhhhhh mkuuu masihara haya ... kama hujui Iphone ni nini...?! anyways ni smartphone ... simu kwa kizungu ni phone na I ni brand name kama ulivyoona ipod, i pad, i phone ..... kuna vitu kama i cloud etcl
 
Ipod- ni special kwa kusikiliza musics. Ipad- ni touch screen computer na. Iphone- ni touch screen phone.. Yup, bongo zinapatikana, pia kuna jamaa aliweka link humu Jf kuwa anauza hizi bidhaa za apple.
 
Ahsante mkuu umenipa Maarifa ya kutosha!
 
Ipod- ni special kwa kusikiliza musics. Ipad- ni touch screen computer na. Iphone- ni touch screen phone.. Yup, bongo zinapatikana, pia kuna jamaa aliweka link humu Jf kuwa anauza hizi bidhaa za apple.
Shukrani ndugu!
 
Back
Top Bottom