Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Gembe naona umemshushua sana mwanahaki, nadhani hakuwa na nia mbaya kutoa taarifa hii, kama alikosea jina la kozi basi na simu pia ni shida??? hii itafanya watu wawewanaogopa kuleta habari hapa, mimi binafsi nilijua kakosea kozi lkn hapa ujumbe ulikuwa ni maandano na maaskari, les try to be realistic hapa jamani
Na ukweli ni kwamba FFU wamesha tinga maeneo na gari lao la maji ila cha ajabu sijaona Ambulance maana wanaweza kuumiza ama kuumizwa then inakuwaje ?