Waende uko, hawana tu mda na
mambo ya maana, mbona wanashinda wanachati whatapp na na kutupia
mapicha fb
Kumbe hamna kitu. Japo na mi
ni wa huko ila huku kujisikia kunaniboa sana. Shame on us, tumekalia
kukalili madesa tu, ubunifu kichwani hamna kabisa
Aiseee wewe jamaa ni bonge la mnafiki, hapa unasema japo na wewe ni wa huko ila kujisifia kunakuboa. Huko wapi sasa unapozungumzia, UD au? afu comment yako ya chini tena unasema "wa UD waende huko". mbona haueleweki???????
Kwa hiyo unahisi najikomba
au? Mtu mzima lazima uwe na uwezo wa kuji-challenge, sio kukingia kifua
upumbavu kisa unfanyikia kwako.
Chizi weww sasa mimi nasoma sheria unadhani kesi ntaziota ndotoni bila kugoogle? Au vyuo vyenu vya kata vina law reports za nchi zote?10000,
Huna hata aibu wewe jamaaa.. Mwanachuo mzima unatgemea kugoogle eti ili umaintain gpa.. Apo tayar inaonesha jinsi gan elimu unayopewa haitakusaidia kukabli changamoto.
Nilikua naangalia taarifa washindi wa shindano la ubunifu ITV kwenye washindi kumi hakuna wa UD hata mmoja, kuna hadi mdada wa advance ameingia top ten. Sasa najiuliza ile slogan ya "home of intellectuals" mbona siioni?
Hahaha kwani umeona UDSM tu??vyuo vingine je??wao hawana slogan??
Hahaha ukilaza wako na uvivu wa akili ndio ulkufanya ukose sifa za kujiunga udsm,,,Hahahaha daah laumu akili yako mbovu usilaumu Udsm kisa ulifel kujiunga
Daah Mti wenye matunda hupigwa mawe......
Am proud of myself; Udsm Graduate 2011-2014
#Via CHUO CHA TAIFA.
10000,
Huna hata aibu wewe jamaaa.. Mwanachuo mzima unatgemea kugoogle eti ili umaintain gpa.. Apo tayar inaonesha jinsi gan elimu unayopewa haitakusaidia kukabli changamoto.
Da jf siku hizi kuna walopokaji sijawahi kuona. Mtu ni Mr. alafu anaandika mipasho. Poor you.