UDSM mko wapi, shindano la ubunifu?

Ningeshangaa kama mwanafunz wa udsm anapata hadi muda wa kutweet wkt shule yake ni mtihani tosha.
 
Ningeshangaa kama mwanafunz wa udsm anapata hadi muda wa kutweet wkt shule yake ni mtihani tosha.

Waende uko, hawana tu mda na mambo ya maana, mbona wanashinda wanachati whatapp na na kutupia mapicha fb
 
Waende uko, hawana tu mda na
mambo ya maana, mbona wanashinda wanachati whatapp na na kutupia
mapicha fb

Acheni wivu wa ajabu bana, nyie kama sifa za kujiuga UDSM hamkua nazo ndo ivo vumilieni tu kuliko kua na wivu wa namna hii.
 
Kumbe hamna kitu. Japo na mi
ni wa huko ila huku kujisikia kunaniboa sana. Shame on us, tumekalia
kukalili madesa tu, ubunifu kichwani hamna kabisa

Aiseee wewe jamaa ni bonge la mnafiki, hapa unasema japo na wewe ni wa huko ila kujisifia kunakuboa. Huko wapi sasa unapozungumzia, UD au? afu comment yako ya chini tena unasema "wa UD waende huko". mbona haueleweki???????
 
Kwa hiyo unahisi najikomba au? Mtu mzima lazima uwe na uwezo wa kuji-challenge, sio kukingia kifua upumbavu kisa unfanyikia kwako.
 
Chuki binafsi tu...mnaitamaaaani UDSM sema tu hamkubahatika..so msiichukie.
 
Kwa hiyo unahisi najikomba
au? Mtu mzima lazima uwe na uwezo wa kuji-challenge, sio kukingia kifua
upumbavu kisa unfanyikia kwako.

Hapo ume-challenge nini sasa,? Ndo maana ulikosa sifa za kwenda UD matokeo yake unalalama tu hapa na wivu wako.
 
Wanafunzi wa vyuo ambavyo chn n hotel wanasumbua kweli yan vyuo vyote tukiwa wabunifu tutauzia wap....eee
 
Mimi ni wa UDSM na nnauona utofauti wangu na wengine kwenye sekta niliyopo. Uelewa wangu na wengine waliosoma vyuo vingine hasa vya ndani nauona. Japo siyo kwa ujumla kuna wanaotoka vyuo vingine lakini wako vizuri coz walijiongeza. Ukizingatia na kuexplot opportunities zilizopo UDSM esp on extra curricular activities unakuwa na wigo mpana mno. Mfano mdogo pale business school UDSM kuna professional association zaiti ya tano kwenye areas za marketing, finance, commercial tourism na HR kuna career center , kuna entrepreneur center kuna practical learning za issue kama leasing walizofanya na CRDB bank pale kuna AIESEC , UN Chapter kwenye chuo kwa ujumla na ukifuatilia kwa makini vitu hivi kama ni mwanafunzi utaearn a lot sababu vingi havipo kwa majina bali vinaopperate kabisa. Nimejaribu kuangalia vyuo vingine vitu hivi vingi bado havijashika hatamu na vilivyopo vingi havifanyi kazi katika capacity nzuri japo wanafunzi wenye akili wapo kila mahali
 
10000,

Huna hata aibu wewe jamaaa.. Mwanachuo mzima unatgemea kugoogle eti ili umaintain gpa.. Apo tayar inaonesha jinsi gan elimu unayopewa haitakusaidia kukabli changamoto.
Chizi weww sasa mimi nasoma sheria unadhani kesi ntaziota ndotoni bila kugoogle? Au vyuo vyenu vya kata vina law reports za nchi zote?
 
Last edited by a moderator:
Nilikua naangalia taarifa washindi wa shindano la ubunifu ITV kwenye washindi kumi hakuna wa UD hata mmoja, kuna hadi mdada wa advance ameingia top ten. Sasa najiuliza ile slogan ya "home of intellectuals" mbona siioni?

Mshindi wa mwezi january bwana Fredrick Shayo ni mhitimu wa UDSM
 
Hahaha kwani umeona UDSM tu??vyuo vingine je??wao hawana slogan??
Hahaha ukilaza wako na uvivu wa akili ndio ulkufanya ukose sifa za kujiunga udsm,,,Hahahaha daah laumu akili yako mbovu usilaumu Udsm kisa ulifel kujiunga
Daah Mti wenye matunda hupigwa mawe......

Am proud of myself; Udsm Graduate 2011-2014
#Via CHUO CHA TAIFA.
 
Da jf siku hizi kuna walopokaji sijawahi kuona. Mtu ni Mr. alafu anaandika mipasho. Poor you.
 
10000,

Huna hata aibu wewe jamaaa.. Mwanachuo mzima unatgemea kugoogle eti ili umaintain gpa.. Apo tayar inaonesha jinsi gan elimu unayopewa haitakusaidia kukabli changamoto.

Labda wewe utuambie unapata wapi Literature, hasa kwa aina ya Library tulizonazo katika vyuo vyetu hapa Nchini,

Hivi Huko Shuleni mnaenda kusomea ujinga?- FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom