Wanafunzi wa Diploma mnasumbua sana yani we unataka uione udsm katika kila kitu...
vipi uliviona vyuo kama oxford na cambridge? Hao ndo watani wetu wa jadi!
Nilikua naangalia taarifa washindi wa shindano la ubunifu ITV kwenye washindi kumi hakuna wa UD hata mmoja, kuna hadi mdada wa advance ameingia top ten. Sasa najiuliza ile slogan ya "home of intellectuals" mbona siioni?[/QUO
wanafunzi wa college mna tabu kweli.
udsm ni university.
mlichokiona itv ni shindano la tweet bora kati ya zilizoshindanishwa chini ya udhamini wa mda mrefu sasa wa mzee Mengi.
wana udsm wako busy na shule hawana time na kutweet, wana google madesa kumaintain gpa.
udsm home of intelectuals.
Waambie hao Mkuu, watasubiri sana kwa Udsm
Nilikua naangalia taarifa washindi wa shindano la ubunifu ITV kwenye washindi kumi hakuna wa UD hata mmoja, kuna hadi mdada wa advance ameingia top ten. Sasa najiuliza ile slogan ya "home of intellectuals" mbona siioni?
Watanzania kwa kupondana!Inaonekana ubunifu una levels tofauti na huu ni ule wa level ya chini kulinganisha na uwezo wa wanafunzi wa UDSM. Sasa aliyeshinda 10m eti amefanya hiki:Mshindi wa shindano hilo kwa mwezi Februari ni Viana Mulokozi, mwanafunzi wa mwaka wa nne wa chuo kikuu cha Ardhi aliyebuni wazo la kuanzisha mfumo wa kuwatafutia wanafunzi wa vyuo nafasi za kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye makampuni kwa kupitia mtandao wa internet.
Hivi huu ni ubunifu kweli kwa mwanafunzi wa mwaka wa nne, mimi nilifikiri amekuja na wazo la kuisaidia jamii juu ya mambo ya ardhi, ujenzi, makazi, foleni barabarani?!
Halafu eti mpaka wa sekondari wamo.
Dr. Olomi mwenyewe mwalimu wa UDSM, ina maana hajui kufundisha vizuri?!