Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi wanalalama kwa nini Chuo imeamua kufanya ivyo.
Wana JF je hili ni halali ama kutakuwa na sababu iliyojificha.
Wanataka kuwafanya wanajamii wa UDOM waishi kama enzi za kina Zinjatropas!
mkuu thanks sana ninajaribu kudownload kwa sabau very soon na watufanga na yetu nimeiweka kwa kuwa teyari na kitu chochote cha kublock any websitewanaweza wakadownload softwares za ku unblock na kuinstal katika kumpyuta zao, mfano wa software mojawapo ni hotspot shield. ukishainstal hizo unaweza kuaccess any blocked site.
WASIOGOPE-MAANA HATA MZUMBE UNIVERSITY WALISHAFUNGIA FACEBOOK ZAIDI YA MWAKA SASA-WATUMIE PROXY WATAWEZA KUWA NA ACCESS BILA TATIZO LOLOTE-WATUMIE HII-Ninja Cloak | Fast, free, anonymous web browsing with NinjaCloak.com hakuna wa kuwazuiaKatika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi wanalalama kwa nini Chuo imeamua kufanya ivyo.
Wana JF je hili ni halali ama kutakuwa na sababu iliyojificha.
mchungaji hapa unakosea , mimi nawaunga mkono kabisa , wangeifunga JF hapo ndio ningemindNimemkumbuka ghafla Hosni Mubarak!
mimi nawaunga mikono yote na miguu. kwa sababu hizo ni commputer za chuo so hakuna shida yoyote kufunga FB isitoshe wanafunzi walikuwa wanapoteza mda mwingi kwenda kuchart rather than studying so big up!!!!!!!!!!!!!Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi wanalalama kwa nini Chuo imeamua kufanya ivyo.
Wana JF je hili ni halali ama kutakuwa na sababu iliyojificha.
Nimemwelewa vizuri sana mkuu...nachelea kusema facebook inatumiwa sana na vijana na wanafunzi. Kwa nini waifungie..leo wameifungia facebook..kesho watafungia yahoo,twitter n.k lazima tuwapinge hawa wakoloni weusi. Kutulazimisha tuishi wanavyotaka wao ni sawa na kuturudisha enzi ya mkoloni au hata enzi ya Zinjathropas!
Nani amekwambia UDOM ni ya CCM?safi sana wawafungie kila kitu si chuo cha CCM hicho