paul kitereja
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 260
- 45
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
haya sasa na wale wa udsm mkutane ubungo mataa msajiliwe
heeeee!!! Ipycalypse umepata huko nini!!??Tulioko mbali itakuaje? Na hiyo taarifa umeipata wapi? Mbona web ya chuo haisemi hivyo?
heeeee!!! Ipycalypse umepata huko nini!!??
inawezekana coz hata cc 2yr mwaka jana tulifanya huo usajili hapo uwanja wa jamuhuri, xo inawezekana utaratibu ukawa hivyo na mwaka huu guyz
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
wewe inaonekana ni mtu ambaye uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo ni mdogo sanah..! mimi siwezi kuandika kitu ambacho siko familiar nacho na wala sina data..hizo information ni kutoka kwenye reliable sources!!! Ukiwa una-comment kwenye thread yoyote humu ndani jaribu kufikiria kwanza usikurupuke!