Udom usajili..!!!!

paul kitereja

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
260
45
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
 
Tulioko mbali itakuaje? Na hiyo taarifa umeipata wapi? Mbona web ya chuo haisemi hivyo?
 
Tehe tehe tehe! Hebu waungwana acheni kupoteza muda kujaza coments kwenye hii thread ya huyu mpuuzi, hana lolote huyu. Usajili wa wanafunzi uwe uwanja wa jamhuri umekuwa usahili wa bongo star search huo!?
 
inawezekana coz hata cc 2yr mwaka jana tulifanya huo usajili hapo uwanja wa jamuhuri, xo inawezekana utaratibu ukawa hivyo na mwaka huu guyz
 
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..

tutakuaminije..!!we si ndo yule ulokua unaiponda Udom.vp tena leo na ww umechaguliwa uko?..hehehee sipati picha.au we ndo utaetusajili?
 
teh teh teh teh!!! me wala sisomi udom..na wala sikipendi UDOM...ila nimepata habari kutoka kwenye reliable sources kwamba kutokana na wingi wa wanafunzi wanaochaguliwa udom lazima usajili ufanyike uwanja wa jamuhuri kwa takribani siku zisizopungua 8!!
 
wewe inaonekana ni mtu ambaye uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo ni mdogo sanah..! mimi siwezi kuandika kitu ambacho siko familiar nacho na wala sina data..hizo information ni kutoka kwenye reliable sources!!! Ukiwa una-comment kwenye thread yoyote humu ndani jaribu kufikiria kwanza usikurupuke!
 
Ahsante sana. Inasikitisha wasomi kuandika mambo ya ajabu ajabu. Eti tukutane uwanja wa Jamhuri!! Lini? Mods mtusaidie ili jukwaa liendelee kuwa na hadhi yake.
 
Taarifa za kuaminika zinasema utaratibu wa usajili utakua kama last year, so wale wa mwaka jana mtupe mtiririko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom