UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana

Afro D ndio maana nakupenda..hawa jamaa wanajinafasi,hawajapiga mtu wala kuvunja kitu cha mtu.they have a good memory to remember.vipi lakini natumai sikukuu imepita vyema.au bado unasherehekea?

Ndo hapo sasa..
mi na sherehekea kila siku ndugu yangu...
Iwe mwaka mpya , idi, xmass au siku yeyote tu ile.
mpaka hapo siku mbaya inikute.. even tho I still pick myself up and move on ..
That's life... we have to celebrate otherwise we will be depress for the rest of our lives.. ( That doesn't sound good)

Vipi mwaka wako uliishaje na umeanzaje??


Take care for now ...:)
 
Mimi pia huku nilipo kulikuwa ni fujo tupu sikuweza kutoka nje Mwaka mpya ulinikutia ndani nawasaidia watu kwenye jukwaa la J.F. Doctor nipo home sipendi matatizo na mtu iam cool man .
Kwani kwenda nje ndio matatizo? Mbona hao wanachuo wamejifurahisha bila tatizo na mtu? lol
 
Twajua mmefulia mpaka mkataka mziki wa mgahawa wa chuo ndio uwe disco.Poleni sana kwakujifariji na wali mbogamboga.
 
Kwa kuwa UDOM ipo karibu na Mirembe, hapo poa. Maana naona ukichaa tu hapo!
 
Hawa jamaa wanatarajiwa kuja kuwa na nafasi nyeti sana katika Jamii muda si mrefu..ndio mana hii nchi imechizika na inakwenda mlama chanzo sasa ndio tunajionea wenyewe.. ...utoto mwiiiingi kila mahali!!

attachment.php


attachment.php



Kwa staili hii kwanini tusimkubalie DAVID CAMEROOOON! :poa:poa:poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom