UDOM: Tulivyokula maisha kuukaribisha mwaka 2012, wenye wivu mtachonga sana

Mim sina cha kusema..
Ila niulize kitu kimoja..
Ni band gani ya taharabu ilikuwa imealikwa..

kila kitu kilikuwepo
CIMG0672.JPG
 
Kaaazi kweli kweli baada ya kuserebuka mwaka mpya leo wamegoma hawana hela
 
Hawa jamaa wanatarajiwa kuja kuwa na nafasi nyeti sana katika Jamii muda si mrefu..ndio mana hii nchi imechizika na inakwenda mlama chanzo sasa ndio tunajionea wenyewe.. ...utoto mwiiiingi kila mahali!!

attachment.php


attachment.php
Mkuu mpaka kufanya hivi kuna sababu kibao zinachanagia, mfumo hauandai na hautoi nafasi ya kuandaa viongozi unaotarajia, kuamua kufanya hivi kunasukumwa na mengi, vinginevyo wasingefikia hapo. Mjenga nchi ni mwananchi, ila sijui mla nchi ni nani.
 
leo ndo nathibitisha kuwa ni chuo cha kata!! hivi bumu wanapata sh ngapi vile:lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom