UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Tatizo watu wanasikiliza ya kuambiwa na habari za kwenye magazeti mimi huwa sipotezagi muda kuwajibu wanaoikejeri UDOM ila wanashangaa sana wanapoona uwezo wangu upo maili mia zaidi yao
 
Top Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings
Pitia link hyo ujue best university in Tanzania 2016
Sio mnaongea tuu naweka na picha
1475093469359.png
 
Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!!

1.MAHALI(LOCALITY)
Kipo dodoma ambayo ndo Habari Ya mjini sasa Hivi alaf Geographically kama tunavyojua dodoma Ipo katikati Ya Tanzania hivo Usafiri sio changamoto kwenda Muda wowote unaotaka kwenda Plus Fact Ya Kuwa dodoma Is Now Growing kinaipa Fursa Kubwa sana in terms Of services.

2.GHARAMA ZA MAISHA(COST OF LIVING)
Unlike Vyuo karibia Vyote Tanzania UDOM Ina cost ndogo za Maisha,tukianza Na Fact kuwa Kuna Hostels Mia Kidogo za wanafunzi kulala where u Just pay 5oo/- kwa siku which is More than Enough,alaf misosi Yenyewe Iko cheap Kinyama Yaan starting from 1ooo/- ambapo Unakula na kushiba Kabisa kuna villages za wajasiriaMali along the university ambapo unapata vitu mbalimbali kwa Bei Ya Nyanya.

3.VIFAA VYA KIMASOMO(EDUCATION FACILITIES)
Kila College Ina Maktaba Yake na Labaratories ambapo unakuta Materials mbali mbali za considering the Fact Kuwa ni cha Juzi Juzi Facilities Bado zipo katika Ubora wake Unlike Vyuo Tangia enzi za Nyerere na Mitaala Ya nchi Hii inayobadilika havipo Updated Kabisa,na due to wingi wa Colleges ukipita Kila Maktaba hutakosa unachotafuta.Pia kuna Buses za Chuo Just Incase kuna Trip Yoyote

4.VIFAA VYA KIMICHEZO+RECREATION
Kila college Ina kiwanja chache cha Mpira,basketball na Volleyball infact vya hii michezo ni viwili viwili ni some colleges na Mpka tennis courtYards Pia zipo nets,mipira na Facilities zingine sitaki kuongelea Maana huwezi Kujenga viwanja viwili viwili alafu ukakosa Mipira,Kuna Club Kuntu pale Humanities kwa wale wapenda Bata,kuna swimming Pool pia Just costs 3000 kwa wanafunzi

5.MADHARI(ENVIROMENT)
Udom Ina Mazingira Bora sana especially kuanzia February to september kuna milima na mabonde Ya kutosha tu kifupi the view is Just Perfect,na kutokana na baridi Ya usiku hamna mbu kabisa,kimajengo sihitaji kuongelea maana watu wanasomea kwenye Bunge la zamani alaf Yapo mengi Mpka Yanazidi Mengine Yanaazimwa kabisa na serikali

5.UMBALI KUTOKA MJINI.
Sio zaidi Ya 8km nauli ni 400 na mabasi Yapo pale pale Chuo kwaio Usafiri sio Kero hata kidogo any time Of the day unafika tu Pale chuoni without hurting ur head Yaan huwazi sana

6.QUALITY YA ELIMU.
Ipo kawaida tu kama chuo chochote Kile hapa nchini kuna lectures wa kutosha na Pia kuna hata new courses zimeanzishwa hapa ambazo huzipati kwenye vyuo vingi Tanzania baada ya serikali kuona haja alaf Pia masomo kama chinese ni Free kabisa kusoma no Charges wachina wapo pale wanafundisha and people Go to china every Now and Then
Najiuliza tu hapa,hv chuo bora kinadahili vilaza? Rejea kauli ya jpm,chuo bora kina mgomo wa wahadhiri? Chuo bora kinachelewesha fedha za wanafunzi kila siku had wanagoma na kupigwa na ffu?chuo bora kimezuiwa kudahili prog ya md medicine? Chuo bora hakina hta prospectus online? Hadi kuna thread ililetwa humu mtu analalamika haoni prospectus online? Je chuo bora kinaazima wahadhiri toka vyuo vingine vikuu mfano udsm? Chuo bora mkuu wake hana msimamo anaagizwa adahili vilaza na anafanya? Chuo bora kinatawaliwa na siasa hadi baadhi ya taasisi za serikali zinaomba kutumia majengo yake kma ofisi ktk safari ya kuhamia dodoma?..........kiufupi ukiweza kujibu maswali yote haya ndo uje tuongee sasa
 
Najiuliza tu hapa,hv chuo bora kinadahili ******? Rejea kauli ya jpm,chuo bora kina mgomo wa wahadhiri? Chuo bora kinachelewesha fedha za wanafunzi kila siku had wanagoma na kupigwa na ffu?chuo bora kimezuiwa kudahili prog ya md medicine? Chuo bora hakina hta prospectus online? Hadi kuna thread ililetwa humu mtu analalamika haoni prospectus online? Je chuo bora kinaazima wahadhiri toka vyuo vingine vikuu mfano udsm? Chuo bora mkuu wake hana msimamo anaagizwa adahili ****** na anafanya? Chuo bora kinatawaliwa na siasa hadi baadhi ya taasisi za serikali zinaomba kutumia majengo yake kma ofisi ktk safari ya kuhamia dodoma?..........kiufupi ukiweza kujibu maswali yote haya ndo uje tuongee sasa
Una matatizo kadhaa,cha kwanza uelewi JPM alikua anazungumzia nini,alafu cha pili unasoma threads from people alaf unachukua kama facts unaleta hapa,alaf hoja za fedha hata nisiongee maana hii fact umeisema kama hujasoma chuo kabisa,,,acha niulize umesoma chuo???
 
Unataka nikuletee vyeti au?una uhakika sielewi rais wako alikuwa anazungumzia nn eeeh,mi sio mjinga kma unavyofikiri,nan aliekwambia ninasoma threads tu,ninachambua ukweli pia,jibu maswali yangu sio kubwabwaja tu bila hoja,ukiweza kujibu hayo ndo tuongee
 
Ndugu wewe ni Mwanasiasa,alaf sikuhitaji vyeti kujua kama Ulimaliza chuo i needed to see that kwenye message nijue umesoma hence said sijaona swali lolote ambalo ni zito kunifanya nipoteze useful body resources kukuelezea,,ebu Jiulize alaf ujijibu alafu uendelee kuongea na wewe mwenyew
 
Nimegundua siwezi bishana na mtu wa type yako maana kiswahili rahis lakin huelewi,id yako tu inaonesha wee ni mtu wa aina gan hvyo napoteza muda kubishana na mtu mwenye poor iq badala yake anaendekeza mihemko tu na kuita hoja siasa,jitahidi umalize chuo kijana
 
..asante Kiongozi
 
Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!!

1.MAHALI(LOCALITY)
Kipo dodoma ambayo ndo Habari Ya mjini sasa Hivi alaf Geographically kama tunavyojua dodoma Ipo katikati Ya Tanzania hivo Usafiri sio changamoto kwenda Muda wowote unaotaka kwenda Plus Fact Ya Kuwa dodoma Is Now Growing kinaipa Fursa Kubwa sana in terms Of services.

2.GHARAMA ZA MAISHA(COST OF LIVING)
Unlike Vyuo karibia Vyote Tanzania UDOM Ina cost ndogo za Maisha,tukianza Na Fact kuwa Kuna Hostels Mia Kidogo za wanafunzi kulala where u Just pay 5oo/- kwa siku which is More than Enough,alaf misosi Yenyewe Iko cheap Kinyama Yaan starting from 1ooo/- ambapo Unakula na kushiba Kabisa kuna villages za wajasiriaMali along the university ambapo unapata vitu mbalimbali kwa Bei Ya Nyanya.

3.VIFAA VYA KIMASOMO(EDUCATION FACILITIES)
Kila College Ina Maktaba Yake na Labaratories ambapo unakuta Materials mbali mbali za considering the Fact Kuwa ni cha Juzi Juzi Facilities Bado zipo katika Ubora wake Unlike Vyuo Tangia enzi za Nyerere na Mitaala Ya nchi Hii inayobadilika havipo Updated Kabisa,na due to wingi wa Colleges ukipita Kila Maktaba hutakosa unachotafuta.Pia kuna Buses za Chuo Just Incase kuna Trip Yoyote

4.VIFAA VYA KIMICHEZO+RECREATION
Kila college Ina kiwanja chache cha Mpira,basketball na Volleyball infact vya hii michezo ni viwili viwili ni some colleges na Mpka tennis courtYards Pia zipo nets,mipira na Facilities zingine sitaki kuongelea Maana huwezi Kujenga viwanja viwili viwili alafu ukakosa Mipira,Kuna Club Kuntu pale Humanities kwa wale wapenda Bata,kuna swimming Pool pia Just costs 3000 kwa wanafunzi

5.MADHARI(ENVIROMENT)
Udom Ina Mazingira Bora sana especially kuanzia February to september kuna milima na mabonde Ya kutosha tu kifupi the view is Just Perfect,na kutokana na baridi Ya usiku hamna mbu kabisa,kimajengo sihitaji kuongelea maana watu wanasomea kwenye Bunge la zamani alaf Yapo mengi Mpka Yanazidi Mengine Yanaazimwa kabisa na serikali

5.UMBALI KUTOKA MJINI.
Sio zaidi Ya 8km nauli ni 400 na mabasi Yapo pale pale Chuo kwaio Usafiri sio Kero hata kidogo any time Of the day unafika tu Pale chuoni without hurting ur head Yaan huwazi sana

6.QUALITY YA ELIMU.
Ipo kawaida tu kama chuo chochote Kile hapa nchini kuna lectures wa kutosha na Pia kuna hata new courses zimeanzishwa hapa ambazo huzipati kwenye vyuo vingi Tanzania baada ya serikali kuona haja alaf Pia masomo kama chinese ni Free kabisa kusoma no Charges wachina wapo pale wanafundisha and people Go to china every Now and Then

Uandishi wako tu unathibisha tu wewe ni wa udom.
Then unashindwa hata kuelewa unaongelea nini,nlitegemea useme quality ya education inayotolewa hapo iko juu ukilinganisha na vyuo vingine na utoe sababu.Sasa kama unasema ni sawa tu na vyuo vingine io udom inakuaje bora?

Hizo sifa nyingine za mandhari,umbali kutoka mjini,gharama ya maisha,mahali labda ka ulitaka kusema udom ni hotel ya kitalii kwa wanafunzi bt sio sifa ya kusema ni bora kuliko vyote Tz.

Ukishachaguliwa udom usitafute sababu ya kujifariji we soma tu ujiandae na maisha ya mbelen coz mwisho wa siku utaangaliwa wewe sio chuo ulichosoma.
 
Unamfaham fact za Ku rank vyuo
 
..Inaonyesha kabisa hujui sifa ya Chuo bora na kama ulikua hujui Mkuu,hamna chuo kinachotoa Elimu bora kuliko kingine hapa Tanzania Its all the same na sitafuti kujifariji najua ukweli upo wapi!!
 
Back
Top Bottom