UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,181
1,212
Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!!

1.MAHALI(LOCALITY)
Kipo dodoma ambayo ndo Habari Ya mjini sasa Hivi alaf Geographically kama tunavyojua dodoma Ipo katikati Ya Tanzania hivo Usafiri sio changamoto kwenda Muda wowote unaotaka kwenda Plus Fact Ya Kuwa dodoma Is Now Growing kinaipa Fursa Kubwa sana in terms Of services.

2.GHARAMA ZA MAISHA(COST OF LIVING)
Unlike Vyuo karibia Vyote Tanzania UDOM Ina cost ndogo za Maisha,tukianza Na Fact kuwa Kuna Hostels Mia Kidogo za wanafunzi kulala where u Just pay 5oo/- kwa siku which is More than Enough,alaf misosi Yenyewe Iko cheap Kinyama Yaan starting from 1ooo/- ambapo Unakula na kushiba Kabisa kuna villages za wajasiriaMali along the university ambapo unapata vitu mbalimbali kwa Bei Ya Nyanya.

3.VIFAA VYA KIMASOMO(EDUCATION FACILITIES)
Kila College Ina Maktaba Yake na Labaratories ambapo unakuta Materials mbali mbali za considering the Fact Kuwa ni cha Juzi Juzi Facilities Bado zipo katika Ubora wake Unlike Vyuo Tangia enzi za Nyerere na Mitaala Ya nchi Hii inayobadilika havipo Updated Kabisa,na due to wingi wa Colleges ukipita Kila Maktaba hutakosa unachotafuta.Pia kuna Buses za Chuo Just Incase kuna Trip Yoyote

4.VIFAA VYA KIMICHEZO+RECREATION
Kila college Ina kiwanja chache cha Mpira,basketball na Volleyball infact vya hii michezo ni viwili viwili ni some colleges na Mpka tennis courtYards Pia zipo nets,mipira na Facilities zingine sitaki kuongelea Maana huwezi Kujenga viwanja viwili viwili alafu ukakosa Mipira,Kuna Club Kuntu pale Humanities kwa wale wapenda Bata,kuna swimming Pool pia Just costs 3000 kwa wanafunzi

5.MADHARI(ENVIROMENT)
Udom Ina Mazingira Bora sana especially kuanzia February to september kuna milima na mabonde Ya kutosha tu kifupi the view is Just Perfect,na kutokana na baridi Ya usiku hamna mbu kabisa,kimajengo sihitaji kuongelea maana watu wanasomea kwenye Bunge la zamani alaf Yapo mengi Mpka Yanazidi Mengine Yanaazimwa kabisa na serikali

5.UMBALI KUTOKA MJINI.
Sio zaidi Ya 8km nauli ni 400 na mabasi Yapo pale pale Chuo kwaio Usafiri sio Kero hata kidogo any time Of the day unafika tu Pale chuoni without hurting ur head Yaan huwazi sana

6.QUALITY YA ELIMU.
Ipo kawaida tu kama chuo chochote Kile hapa nchini kuna lectures wa kutosha na Pia kuna hata new courses zimeanzishwa hapa ambazo huzipati kwenye vyuo vingi Tanzania baada ya serikali kuona haja alaf Pia masomo kama chinese ni Free kabisa kusoma no Charges wachina wapo pale wanafundisha and people Go to china every Now and Then
 
..Africa sijua kama kuna chuo cha Tanzania chochote hata kwenye top 100
 
kweli mkui,unaweza kuwa sahihi kwa sababu ukiapreciate sehemu unayosoma wew ndie unakuwa unafaham position yako kulingana na shule unavyoiona.uko sawa mkuu kwa fact ulizotoa upande wako na wanaUdom wengne pia.vizur
 
kweli mkui,unaweza kuwa sahihi kwa sababu ukiapreciate sehemu unayosoma wew ndie unakuwa unafaham position yako kulingana na shule unavyoiona.uko sawa mkuu kwa fact ulizotoa upande wako na wanaUdom wengne pia.vizur
..Much Respect Mkuu
 
Kaka kwel ufaham ndg maana point zako n za kujirudia karibu 3 kikubwa kwenye chuo ukiacha facilities n RESEARCH na zina impact gan kwa jamii chuo km hakina research wordwide hakiwez kuwa bora zaid ya vyuo ambavyo n bora
 
Mkuu hata mi naona hujakosea kukupaisha chuo chako
 

Attachments

  • 1475038367353.png
    1475038367353.png
    41.1 KB · Views: 93
Kaka kwel ufaham ndg maana point zako n za kujirudia karibu 3 kikubwa kwenye chuo ukiacha facilities n RESEARCH na zina impact gan kwa jamii chuo km hakina research wordwide hakiwez kuwa bora zaid ya vyuo ambavyo n bora
Ebu nipe mfano wa reserches zilikua conducted na chuo zikawa na Impact kwa Jamii
 
Back
Top Bottom