Udom kwa mtindo huu mtafukuza wengi

Poleni sana vijana wenzangu,nmemaliza hapo COED 2011 na kwa wasiojua ati kua wana UDOM walimchangia JK 2010 si sahihi kwani walichofanya ccmwalileta hela kama 1m kwa mwenyekiti wao hapo coed then wakazimbaza kwa wanachama ili ionekana kwamba cku JK anakuja DOM basi ijulikane kua Udom as Udom wamemchangia kwa hyo watu msipende kuwahukumu watu kama hamjui kitu,zaidi shikamaneni ndugu zangu hilo ndilo Janga la kumchagua KJ madarakani
 
msijali serikali yenu ni sikivu italeta pesa muda si mfupi. kwani udom kuna wanafunzi na kama wapo si wadi chao. woga utawatafuna....................
 
Back
Top Bottom