UDOM jaman Udoso hakuna msaada tafadhali

king mjuni

Member
Oct 11, 2014
93
15
Hiv toka nisajiliwe na nisaon bum mpaka Leo n wiki3 sasa sielewi inakuaje hapo nawakati wengne wamepata nipeni majibu
 
hiki chuo ni janga la taifa na utawala wake wote hawana la maana pesa ni zetu...wao wanazikalisha huko wiki 2 hadi 3 tangu mtu asaini hakuna kupewa...
itabidi tufanye kama alivyo tusihi ndugu mpandalume
 
Back
Top Bottom