UDOM Aibu Tupu

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,208
4,221
Wana Jf,nini kimeipata website ya UDOM? It has been a while now haipatikani na taarifa haijatolewa ... pia system yao ya ARIS kila siku ina matatizo ... hivi kweli lichuo likubwa hivyo mmeshindwa kumaintain website yenu? hii ni aibu... wahusika please chukueni hatua ...
leo nimeitembelea na kukutana na ujumbe:

[h=2]Ilanikutembelea tovuti hili kunaweza kudhuru kompyuta yako![/h]

Vidokezo:
Au unaweza kuendelea hadi The University of Dodoma kwa thubutu yako mwenyewe. Kwa maelezo ya kindani kuhusu matatizo tuliyopata, tembelea ukurasa wa uchambuzi wa Kuvinjari Salama wa Google kwa tovuti hii.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kujikinga dhidi ya programu mbaya kwenye wavuti, unaweza kutembeleA StopBadware.org.

Ikiwa unamiliki tovuti hii, unaweza kuomba utathmini wa tovuti yako kwa kut
 
Hayo ndiyo matokeo ya Affirmative Action kwaajili ya kuwabeba watu wasiopenda kujibidiisha katika maisha...Wameharibu kila sehemu walizokabidhiwa kuziongoza...We need grown up leaders to clean up this mess created by these people
 
Walitka UDSM ife ili UDOM isimame, kwani wangetamani visimame vyote shida ingekuwa wapi
 
udom ilikimbizwa sana katika kujengwa, kuajiri wahadhiri na mambo mengine, hiki chuo chaweza kuleta majanga makubwa baadae
 
Hayo ndiyo matokeo ya Affirmative Action kwaajili ya kuwabeba watu wasiopenda kujibidiisha katika maisha...Wameharibu kila sehemu walizokabidhiwa kuziongoza...We need grown up leaders to clean up this mess created by these people

Unatoa povu kama (mushi) mume wa ufuo saro. Angalia usijiue
 
udom ilikimbizwa sana katika kujengwa, kuajiri wahadhiri na mambo mengine, hiki chuo chaweza kuleta majanga makubwa baadae

Haujui unalolisema. Unaangalia majengo tu? Inaonekana bado umevaa mewani ya mbao. Fuatilia kiundani utaona ukweli. Ni Chuo Kilichoimarika sana na kina Directorate of Quality Assurance sijui kama unalijua hilo?
 
UDOM receive finance assistance for two project from TCRA

TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) will finance three projects to be carried out by two universities after signing a Memorandum of Understanding (MoU).The two higher learning institutions are the University of Dar es Salaam (UDSM), which will research on the use of Information and Technology to improve management of road safety and the University of Dodoma (UDOM) which will research on cyber realm and applying mobile technology for drugs verification.Speaking during the award of the research fund ceremony in Dar es Salaam yesterday, the TCRA Director General Prof John Nkoma, said the two universities were selected out of the 22 higher learning institutions which had submitted proposals."UDOM will receive 200m/- per year for two projects while UDSM will receive 100m/- per year for one project," said Prof Nkoma. UDOM Vice-Chancellor, Prof Idris Kikula, thanked the TCRA for the support and he urged other local organs to emulate the authority.The Dean of College of the Informatics and Virtual Education at UDOM, Dr Leonard Msele, said the project would help to give a clear picture of the cyber crime. On his part, UDSM senior lecturer, Prof Nerey Mvungi, said 75 per cent of the road accidents were caused by reckless driving while the rest per cent is caused by human error, saying there was a need to introduce policy and stern measures to control road accidents.
 
Hicho chuo ni majanga matupu!

Nasikia adi waalimu wa primary wanafundisha apo, wee unategemea nini kama sio total fiasco!
 
Najua mtasema sana but lazma tukubali chuo bado kichanga kinachangamoto nyingi,kina miaka kumi mbelen kuwa stable so nikawaida kuwa na matatzo hasa ya kiuongoz,siasa za ccm zmekiaribu sna chuo upendeleo,udini,nk al in al kitakuja kiwe vizur one day,kelele nyng kukihusu znaonesha neema mbeleni wew hufikiri kwann udom na sio mum,st.marks,mwenge,jordan nk?
 
Yan Kaka Mi Npo Udsm Apa Lkn Namwambia Aliyecoment Kwamba Ata Walmu Wa Primary Wanafundsha Udom Kuwa Yeye Ni Sawa Na Shoga Aliyejamba Na Kumuomba M2 Am2mbukze Utam Coz Kk Umeboa ! selected out of the 22 higher learning institutions which had submitted propo
 
Back
Top Bottom