Muuza Maandazi
Member
- Aug 12, 2009
- 40
- 0
Ukiwa mdini siku zote utashindwa kuona taswira halisi ya mambo yanavokwenda ndo maana aloleta thread bado anaamin waislamu hawakusoma ndo maana hawawezi kuongoza wizara wala nchi...anasahau kuwa maghembe ni profesa. huu ni ubalakala. wapo waislamu wamesoma na wanaendelea kusoma na siku zote watafanya vizuri kazini,Huwa napata kichefuchefu kumwona mwislamu wenye elimu ngau ya kuweza kusurf kutojitambua na kutoeleza tatizo ni nini?
HATA KAMA LEO MKAPEWA UONGOZI WOOOTE NA NGAZI ZOTE HAPA NCHINI, KATIKA REAL WORLD YA GLBALISATION AND COMPETITION BADO HAMTAWEZA KU-COMPETE, HII ITAWAFANYA MUWE VIONGOZI MKIONGOZWA NA WENYE ELIMU!!!