Mkuu hebu njoo na data vyenginevyo hatukuelewi. Tatizo lenu wakatoliki mnaona kwamba nyinyi ndio mna haki ya kila kitu. Na naamini mnayoyaficha nyoyoni ni makubwa zaidi kwenu nyinyi waislamu ni watu wa daraja la pili na hawafai kuwa viongozi na ndio maana makala kama hizi zinazopalilia chuki hatuzishangai