Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?

MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE

MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU

MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU

MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU

Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri

1.Josm hapa umewashika pabaya sisi m maana watasema weeeeeeeeeee na utetezi wao tayari umeshaonekana auna nguvu bado. Tena watakuja kwa jaziba maana hiyo ndio kawaida yao:)
Ni hawa hawa sasa wanasema viongozi wanachaguliwa na watu. Habari za dini hawaangalii.
2.Ni hawa hawa wanasema ni coincidence.
3.Ni hawa hawa wanakuja na utetezi wa hawamu zilizopita jinsi zilivyoongozwa na wakristo.
4.Ni hawa hawa waliokuwa wakipiga kelele usiku na mchana kwamba serikali imejaa wakristo from top to down miaka si mingi imepita sasa.
5.Ni hawa hawa walioanzisha wimbo wa kwamba CUF ni chama cha kidini kwa kutumia vigezo hivi hivi walivyonavyo leo. Leo mkuki umewageukia.
6.Wenye macho hawaambiwi tazama. Wasio nayo(vipofu) tutawaambia nini kinatokea hapa duniani. Maana hawaoni. Mimi huku niliko we acha tu maana kafu ndio walikuwa wanamiliki kila eneo lakini baada ya kuingia kiongozi wa kiislamu wote wamerudi sisi m na visingizio ni vipi? wanaona sera za sisi m sasa ni safi!!!!!!!!!!! kwa vipi? kwa kuwa kiongozi ni muislamu! haya basi hapa watakuja na kusema hata mimi ni mdini! jamani kweli mimi ni mdini kwa kitu naona?
7.Kwa sasa sisi m ni chama cha kidini kabisa. Wao wameungana na kafu:(
 
Jamani naona tukianza kuangalia huyu muislamu yule mkristo tutaanza kujenga chuki kwetu sisi wenyewe.kuna wakristo humo ndani hya chama hawajalalamika kwa vile wanajua huwe kiongozi au sio kiongozi fungu lako utapata.na ndio maana nikawaambia kwamba ccm haina dini ,dini yao ni ufisadi.ccm ingekuwa na dini wasingefanya maovu yote wanayofanya.
 
JAMANI NISAIDIENI CCM NI CHAMA CHA KIDINI?

MWNYEKITI WAKE NI MWISLAMU PAMOJA NA KATIBU WAKE

MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU

MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU

MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU

Tuseme ndani ya chama hiki wakristo hawana uwezo hapa pana ajenda ya siri

yaani wewe ndio mpumbavu wa mwisho kabisa dini inausiana na nini leo Tanznania ebu nenda kaangaike sio kuandika ujinga ujinga tu mjinga wa mwisho kabisa mijitu mingine watu kama nyie amko mbali na ukabila vile vile na mawazo yenu ya wapi sijui ingekua sehemu nyingine yeyote ninge kutu*i.
 
Jamani ebu tuwe "serious" kidogo na mabo ya nchi. Haijalishi sana hata kama viongozi wakuu wa chama au nchi wakitoka dini moja mradi wana sifa nzuri za kuongoza na ili mradi hawana udini katika utendaji wao. Mimi huwa nashangaa watu wanaolalama kwamba kwa mfano mkoa wetu hauna waziri etc. Kwani Waziri Kamala anaongezea nini kwa uwaziri wake katika maendeleo ya jimbo lake la Nkenge? Udini, Ukabila, n.k is "non sense". Hata hivyo Mama Sophiia Simba, Mweyekiti wa UWT ni mkristu kama itawependeza kufahamu dini yake.
 
yaani wewe ndio mpumbavu wa mwisho kabisa dini inausiana na nini leo Tanznania ebu nenda kaangaike sio kuandika ujinga ujinga tu mjinga wa mwisho kabisa mijitu mingine watu kama nyie amko mbali na ukabila vile vile na mawazo yenu ya wapi sijui ingekua sehemu nyingine yeyote ninge kutu*i.

mkuu vipi hueshimu mawazo ya mwenzako?kurupu na mapovu yako mdomoni.This is JF mkuu..where we dare...
 
Wakuu wa kazi habari

naomba mchukue hii kama joke maana hamkawii watu kuanza kupeana madua mabaya.

CCM stand for = CATHOLICS CHURCH MOVEMENT hivyo watuwote ndani ya chama hicho bila kujijua ni wakristo tena wa dhehebu la KATOLIKI.

kama unaduku duku details muhimu nitakupatia

MCHANA INZI USIKU MBU HAKUNA KULALA
 
Dini si hoja, tunachotaka ni Uzalendo na utumishi bora kwa wananchi, kitu ambacho viongozi wetu hawana bila kujali dini zao. Hata Sitta Spika tokea mwaka 1975 ni mbunge wa Urambo, na ana madaraka makubwa na ni mkristo, lakini Jimboni kwake hakuna la maana alilofanya zaidi ya Uongo na porojo na Rushwa.
 
Mbona umesahau katibu mkuu wa UMOJA WA WANAWAKE aliyeteuliwa hivi karibun HASNAT MWILIMA mwislam

MEYA WA JIJI- ADAM KIMBISA NI MWISLAM

MSAIDIZI MEYA-AHMED MWILIMA NI MWISLAM

Tuambie Meya wa Arusha na msaidizi wake ni wa dini gani?
 
Wakuu wa kazi habari

naomba mchukue hii kama joke maana hamkawii watu kuanza kupeana madua mabaya.

CCM stand for = CATHOLICS CHURCH MOVEMENT hivyo watuwote ndani ya chama hicho bila kujijua ni wakristo tena wa dhehebu la KATOLIKI.

kama unaduku duku details muhimu nitakupatia

MCHANA INZI USIKU MBU HAKUNA KULALA

duh hii kali!!poa mkuu nipenyezee hizo details muhimu ulizonazo hata kwa PM,au vipi?
 
Mkuu,
Hayo mambo ya CCM ni wana-CCM wenyewe, kama wao hawasemi iweje uwasemee? Na endapo wewe ni mwanachama wa CCM basi unajua wapi kwa kuyapeleka malalamiko yako.
Mimi sioni tatizo katika hoja yako kwani hapo awali ilikuwa hivi na mambo yalikuwa kama kawaida.
In short CCM si msikiti tukaanza kutafuta Imam au si kanisa tukatafuta Mchungaji.

Kukusaidia zaidi, Mh Sofia Simba si mwislam kama unavyodai

Hata hivyo hapo awali ilikuwa hivi:

MWNYEKITI WAKE NI Benjamin PAMOJA NA KATIBU WAKE Phillip

Makamu Mwenyekiti Bara: John

MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NI MWISLAMU Anna

MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA NI MWISLAMU Emmanuel

MWENYEKITI WA JUMHIA YA WAZAZI CCM NI MWISLAMU Abihud

Du, we ni Pundamilia kweli.
 
mkuu vipi hueshimu mawazo ya mwenzako?kurupu na mapovu yako mdomoni.This is JF mkuu..where we dare...

there's daring which im all for but not inciting hatred of anysort or else tell me the purpose of his post. you know and everybody else in JF, that is not the case we have so many poeple of mixed religion in that party and it has been so since our independence, when you have someone who went through his research to pick the Muslim members of that Party that shows his mental thinking is primitive, stupid to the extreme and very dangerous i'll never use diplomatic dialogue with such a bigot and yuo shouldn't defend that view it only aims to create division not political unit in our stuggle against whatever you stand for...........

Mungu Ibariki Tanzania
 
Historically, Hiki chama kilianzishwa na Waislam wakina Julies Nyerere walitwa tu baadae, Na ndio hao waislam walioanzisha freedom movementsna isitoshe wako majority hapa nchini, kwamaana hiyo wanastaili kuwa wengI kwenye vyama na pia kwenye Serikali.

Swali ni kwanini wako wachache serikalini? Sio kwanini wako wengi CCM au CUF. Tungekua na equal opportunity hapa nchini ingebidi wawepo wengi kila sehemu
 
yaani wewe ndio mpumbavu wa mwisho kabisa dini inausiana na nini leo Tanznania ebu nenda kaangaike sio kuandika ujinga ujinga tu mjinga wa mwisho kabisa mijitu mingine watu kama nyie amko mbali na ukabila vile vile na mawazo yenu ya wapi sijui ingekua sehemu nyingine yeyote ninge kutu*i.
Ndugu, jaribu kuwa mwungwana! unaonekana una jazba sana. Wote humu tukianza kutumia lugha hii ya matusi sijui tutajadiliana nini! Jaribu kutawala hasira. Ndio ukomavu wenyewe! uwe mkali kwenye hoja, siyo kwa matusi. Tusigeuze uwanja huu kuwa uwanja wa matusi na chaos. Tutapoteza lengo lake. Tuvumiliane.
 
Historically, Hiki chama kilianzishwa na Waislam wakina Julies Nyerere walitwa tu baadae, Na ndio hao waislam walioanzisha freedom movementsna isitoshe wako majority hapa nchini, kwamaana hiyo wanastaili kuwa wengI kwenye vyama na pia kwenye Serikali.

Swali ni kwanini wako wachache serikalini? Sio kwanini wako wengi CCM au CUF. Tungekua na equal opportunity hapa nchini ingebidi wawepo wengi kila sehemu

sensa ya mwaka gani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom