mkuu hawa wana akili kweli kwenda kununua TATA za wahindi?
Hawa jamaa lazima kuna deal wanatafuta kupitia hayo mabasi mabovu. tusubiri soon kuliwa.
Kaka tuache ubishi kisena anamiliki 51% kwahiyo moja kwa moja sio shirika la umma!
Siyo mabasi ya UDA hayo... we mwache adai anavyodai.
Hayo ni mabasi ya Simon Group. Kama ilivyoandikwa michuzi.
c'mmon guys you know what is going on here; hii ni namna ya kuibambikia UDA deni. Fikiria incase ripoti inakuja na kusema shirika bado ni la umma na halijauzwa; Kisena atafungua kesi kuyadai mabasi yake ambayo aliyanunua "kama mbia" wa UDA na then tunaenda kwenye songombingo nyingine ya mahakamani hadi tuchokeee!! hawa watu wako smart sana kwenye ufisadi its like a template ambayo imeandikwa na inafuatwa to the last dot!
simon kisena, kwani mzee iddi simba ameshakurudishia zile faranga zako?
Kwanini usisubiri 2015 ipite ili upime upepo, vinginevyo itakula kwako
....Wameanza na kuleta na mayai ya kichina...watatumaliza kwa kweli..mkuu hawa wana akili kweli kwenda kununua TATA za wahindi?
Wala hakuna haja ya makelele yote haya kwa TATA 30.........Dar Express wana mabasi mangapi?....UDA is an icon bana.....Halafu haya model ya zamani na sio city buses......ona TATA la mjini linavyopaswa kuwa
hayo mabasi ni bora wangeyapeleka Sumbawanga yakasidia kusukuma maisha ya wanyonge kule kuliko kutuletea ma used Waliyoyachoka wahindi katika jiji letu la Dar:A S 465:
ANGALIA JIRANI ZETU RWANDA WALIVYOANZA NA KIGALI BUS SERVICE:juggle:
kigalibusservices.com
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka 38 iliyopita.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar Es Sakaam, Mkurugenzi wa kampuni ya Simon Group, Bw. Robert Kisena, amesema kampuni yake inaifufua UDA ambao imekuwa katika hali mbaya. Amesena Simon Group inatarajia kuongeza ajira kupitia UDA. Mpango ni kuwa na mabasi 1,000
Bw Kisena amesema wale wote waliokuwa wakipinga kampuni yake kutokuwa na uwezo wa kuiendesha UDA sasa watakuwa na maoni tofauti. Bw. Kisena amesema kwa miezi sita tuu iliyopita, tayari kampuni yake imesha-invest sh. 3bn/- UDA kwa ajili ya mishahara, spare parts, na kununua mabasi mapya na kuongeza kuwa pesa zimetoka kwenye sources za nje kutoka na mgogoro iliosababisha accounts za UDA zifungwe.
Mabasi yenyewe mapya ndiyo hayo kwenye picha hapo chini.
c'mmon guys you know what is going on here; hii ni namna ya kuibambikia UDA deni. Fikiria incase ripoti inakuja na kusema shirika bado ni la umma na halijauzwa; Kisena atafungua kesi kuyadai mabasi yake ambayo aliyanunua "kama mbia" wa UDA na then tunaenda kwenye songombingo nyingine ya mahakamani hadi tuchokeee!! hawa watu wako smart sana kwenye ufisadi its like a template ambayo imeandikwa na inafuatwa to the last dot!