UDA yanunua mabasi mapya 30

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka 38 iliyopita.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar Es Sakaam, Mkurugenzi wa kampuni ya Simon Group, Bw. Robert Kisena, amesema kampuni yake inaifufua UDA ambao imekuwa katika hali mbaya. Amesena Simon Group inatarajia kuongeza ajira kupitia UDA. Mpango ni kuwa na mabasi 1,000

Bw Kisena amesema wale wote waliokuwa wakipinga kampuni yake kutokuwa na uwezo wa kuiendesha UDA sasa watakuwa na maoni tofauti. Bw. Kisena amesema kwa miezi sita tuu iliyopita, tayari kampuni yake imesha-invest sh. 3bn/- UDA kwa ajili ya mishahara, spare parts, na kununua mabasi mapya na kuongeza kuwa pesa zimetoka kwenye sources za nje kutoka na mgogoro iliosababisha accounts za UDA zifungwe.

Mabasi yenyewe mapya ndiyo hayo kwenye picha hapo chini.

tata.jpg
 
Simon Kisena, kwani Mzee Iddi Simba ameshakurudishia zile faranga zako?

kwanini usisubiri 2015 ipite ili upime upepo, vinginevyo itakula kwako
 
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka 38 iliyopita.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar Es Sakaam, Mkurugenzi wa kampuni ya Simon Group, Bw. Robert Kisena, amesema kampuni yake inaifufua UDA ambao imekuwa katika hali mbaya. Amesena Simon Group inatarajia kuongeza ajira kupitia UDA. Mpango ni kuwa na mabasi 1,000

Bw Kisena amesema wale wote waliokuwa wakipinga kampuni yake kutokuwa na uwezo wa kuiendesha UDA sasa watakuwa na maoni tofauti. Bw. Kisena amesema kwa miezi sita tuu iliyopita, tayari kampuni yake imesha-invest sh. 3bn/- UDA kwa ajili ya mishahara, spare parts, na kununua mabasi mapya na kuongeza kuwa pesa zimetoka kwenye sources za nje kutoka na mgogoro iliosababisha accounts za UDA zifungwe.

Mabasi yenyewe mapya ndiyo hayo kwenye picha hapo chini.

tata.jpg

Mmmh! Tokea ilipoanzishwa miaka 38? Mbona miaka hiyo walikuwa na mabasi mengi tu? Ikarus kumba kumba na leyland za kutosha. Una maana wakati huo walikuwa wananunua moja moja?
 
Wanaongeza uchafu mjini,magari ya karne ya 19 hayo.

mkuu ni bora wangenunua DCM zingepiga mzigo kwa miaka mingi lakini TATA daaaaa aisee hizi ni gari mbovu kupita maelezo. Shirika litakufa tena maintenance cost itakuwa juu sana kwa mwaka na baada ya miaka 2 zitakuwa zimekufa kabisa
 
du aisee hapa kweli imechezwa mechi nzuri...sasa who is behind it Idd Simba au??
 
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka 38 iliyopita.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar Es Sakaam, Mkurugenzi wa kampuni ya Simon Group, Bw. Robert Kisena, amesema kampuni yake inaifufua UDA ambao imekuwa katika hali mbaya. Amesena Simon Group inatarajia kuongeza ajira kupitia UDA. Mpango ni kuwa na mabasi 1,000

Bw Kisena amesema wale wote waliokuwa wakipinga kampuni yake kutokuwa na uwezo wa kuiendesha UDA sasa watakuwa na maoni tofauti. Bw. Kisena amesema kwa miezi sita tuu iliyopita, tayari kampuni yake imesha-invest sh. 3bn/- UDA kwa ajili ya mishahara, spare parts, na kununua mabasi mapya na kuongeza kuwa pesa zimetoka kwenye sources za nje kutoka na mgogoro iliosababisha accounts za UDA zifungwe.

Mabasi yenyewe mapya ndiyo hayo kwenye picha hapo chini.

tata.jpg

Unatuchanganya!! Uda tena iwe ya mtu binafisi????? Weka kauli sawa!
 
mkuu ni bora wangenunua DCM zingepiga mzigo kwa miaka mingi lakini TATA daaaaa aisee hizi ni gari mbovu kupita maelezo. Shirika litakufa tena maintenance cost itakuwa juu sana kwa mwaka na baada ya miaka 2 zitakuwa zimekufa kabisa

TATA uchafu tu ni sawa sawa na kununua bidhaa za mchina...
 
Huyo Kusenha ni tarishi tu wenye ofisi wapo kimya,hiyo UDA sio yake na ndio maana hata historia yake haijui,sidhani hata kama anajua UDA ilikuwa na IKARUS kutoka Hungary si chini ya 50 miaka hiyo, wachilia mbali Leyland Albion
 
mkuu ni bora wangenunua DCM zingepiga mzigo kwa miaka mingi lakini TATA daaaaa aisee hizi ni gari mbovu kupita maelezo. Shirika litakufa tena maintenance cost itakuwa juu sana kwa mwaka na baada ya miaka 2 zitakuwa zimekufa kabisa

hawa jamaa wa simon group wanacho jaribu kufanya ni kucheza na mind zetu coz walishajua kampuni yao haikubariki so wamefnya haraka kununua hayo matumbe jst kutuaminisha kua wanaweza..wanajaribu kutublack mind tu amna kitu hata wangeleta 500 amna kitu hapo.
 
Mara kumi wangenunua Yutong! Ingawa na zenyewe hazidumu lakini zinabeba abiria zaidi ya 60, fuel consumption ni ndogo, spare parts ni cheap!.
 
kwanini wasitununulie mabasi mazuri kama yale ya ulaya, vibasi utafikiri vinaenda kijijini bwnaa..mambo gani hayo? hayo ndo mabasi gani? hawa wahindi mbona hawana maana?
 
Back
Top Bottom