King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
kumbe unapenda matusi eh? wewe pia utakuwa mchokozi!

tukana vizuri sijaelewa

tukana vizuri sijaelewa

Eti nani JF ndiye mchokozi sana kuzidi wenzake?
i thought 'mchokozi' was ur middle name, kumbe its ur sir name! my bad, forgive me.

Mi mpole wa wapole
mkali wa wakali?
Eti nani JF ndiye mchokozi sana kuzidi wenzake?
mauchokozi boy...bt i do like u cz ur sharp upstairs...
mauchokozi boy...bt i do like u cz ur sharp upstairs...
ila na hako ka avatar kako nako kanatuchokoza bana!
Mwingine wewe nilikusahau.

Mi naona Yo Yo

wala sio mchokozi, we sema ni wale wanaokaa tandale afu anajifanya anaishi mbezi.

Unanikumbusha enzi zile za mabeach party coco beach. Kuna masela wa Temeke wao zao ilikuwa kushinda IST ili waonekane kama wanaishi Obay. Hahahahaaa daaah watu wamepitia mengi sana aisee.

we pima tu maelezo ya yo yo, utasikia babaangu mzungu, mara doctor, mara nimeolewa na mzungu, mara ananilipa, mara sina kazi nyingine zaidi ya kufanywa na kutembelea gari then mumewe huwa ndo huwa anafua, kupika nk.
mh, huu ni uchokozi au ungese.