Uchokozi

wala sio mchokozi, we sema ni wale wanaokaa tandale afu anajifanya anaishi mbezi.

Unanikumbusha enzi zile za mabeach party coco beach. Kuna masela wa Temeke wao zao ilikuwa kushinda IST ili waonekane kama wanaishi Obay. Hahahahaaa daaah watu wamepitia mengi sana aisee.

we pima tu maelezo ya yo yo, utasikia babaangu mzungu, mara doctor, mara nimeolewa na mzungu, mara ananilipa, mara sina kazi nyingine zaidi ya kufanywa na kutembelea gari then mumewe huwa ndo huwa anafua, kupika nk.

mh, huu ni uchokozi au ungese.

Ungese maji huo.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom