Simba wamechukia sana Diara kupangua Penati

Hii mipira inatupeleka kusiko kabisa . Diara kupangua Penati jana eti kuna wabongo wameumia kuzidi hata Medeama. Inaelezwa chuki hii ni kwasababu AMEHARIBU VIBE LILILOKUWA LINA TREND LA AYOUB
Hisia zako tu. Hakuna mwenye time naye.
 
Mpira wa bongo umeanza kuujua juzi? Kwa taarifa yako watu walianza kuumia jumanne baada ya mnyama kuikalisha timu namba mbili kwa ubora africa tena kwa pira la kukubwa sana.
 
Kweli mpira umeanza kuujua juzi. Jana wamemgongelea mtu 3,huku Diara akipangua penati. Wako kwenye kilele cha furaha. Wanaoteseka wanaeleweka pamoja na kushindi juzi lakini bado hawana furaha. Kuudhihirisha hilo kuna tred za kibao humu toka Ushindi wa jana,zimefunguliwa na mabumunda dhidi ya YANGA.
 
Screenshot_20231221-120854_Instagram.jpg
 
Medeama ni biashara utd iliyochangamka, haina ubora wowote Africa. Yanga mlitakiwa kuifunga nyumban na ugenini ni basi tu Mambo ya mpira.
 
Ni Kama ambavyo Wydad ilivyo sawa kabisa na Ruvu Shooting; imnafungwa na kila timu.
 
Kweli mpira umeanza kuujua juzi. Jana wamemgongelea mtu 3,huku Diara akipangua penati. Wako kwenye kilele cha furaha. Wanaoteseka wanaeleweka pamoja na kushindi juzi lakini bado hawana furaha. Kuudhihirisha hilo kuna tred za kibao humu toka Ushindi wa jana,zimefunguliwa na mabumunda dhidi ya YANGA.
Mzee mnao umia ni nyie utopolo manake mnajua hamuwezi kufuzu robo fainali hata iweje
 
Back
Top Bottom