Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,783
- 24,215
Ameandika @georgeambangile
IT IS WHAT IT IS ...!
Yani hii mechi unaanzia wapi kuichambua ?
Denis Kitambi kwenye mahojiano na Gift Macha kamaliza kila kitu , amesema " kabla ya mechi ungenipa alama moja naichukua lakini kwa jinsi mechi ilivyokuwa na nafasi alizopata kwenye counter attacks amehuzunika kutoshinda mechi "
Hii inatoa hadithi nzima ya mechi , Namungo walikuwa comfortable sana na inawezekana hawakuamini macho yao jinsi gani mechi ilikuwa rahisi sana kwao , hawakulazimika kukimbia sana maana Simba alikuwa slow sana , hawakulazimika kutumia nguvu maana Simba kwenye 50/50 hawakuwa imara sana , hawakuhitaji kubutua sana mipira ( kasoro Nahimana ) kwasababu hawakuwa wanawekewa presha kutoka kwa Simba wakiwa na mali . Kilichofanya wasiokote dodo chini ya Mwarobaini ??
1: Kukosa umakini katika nyakati muhimu waliposhambulia
2: Kutokuwa na imani ya kuamini kwamba wanaweza kufunga zaidi ya goli moja ( Simba walikuwa wazi sana )
3: Ukiacha ( Hamisi Khalifa ) kwenye kiungo wengine walikosa kujiamini kukaa na mpira na kuharakisha pasi . Matokeo yake ? Huwezi ku control mechi .
Simba SC sasa ... nafikiri mpira huwa unachezwa kichwani na kuwaangalia tu wachezaji wa Simba leo nafikiri ingekuwa amri yao basi mechi ya leo isingekuwepo .... miili ipo uwanjani lakini mawazo yao hayapo hapo
Lugha ya mwili inakuambia hili , wapo slow , pasi zinapotea kirahisi , hawafiki kugombania mipira , hawana uharaka wa kuwaweka Namungo kwenye presha ( angalau kidogoooo dakika zile 15 za mwisho ) ile hasira binafsi kwa mchezaji huoni kwa wachezaji wengi .
Kiufupi ni kwamba leo Simba ni kama walilazimishwa kuingia uwanjani . Mechi iliyopita kisaikolojia imewavuruga sana ... kuanzia sasa kabla ya mechi ijayo nafikiri hawatakiwii kufikiria chochote kwanza kuhusu FOOTBALL angalau kwa siku kadhaa tu .
WANAHITAJI KU RECOVER HARAKA .!
NOTE
1: Hamisi Khalifa kwanza kachomekea mwanzo mwisho halafu hana wasiwasi dimbani
2: Lusajo ataendelea tu kufunga kwenye ligi analijua goli
3: Jean Baleke goalscorer
4: Nyoni na Derrick