Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko.

Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc.

But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa kama yale ya Yanga vs T.P mazembe miaka kadhaa iliyo pita ambapo mechi iliwekwa bure mzunguko Simba wakajaa na kuwashangilia sana Mazembe kama wapo nyumbani vile.

Tunajua Yanga hawawezi kutikiswa na kushangiliwa kwa wapinzani wao lakini mcheza kwao hutuzwa bana lazima tuzingatie hilo.

Tunaomba uwekwe utaratibu kwamba siku hiyo iwe hakuna kuingia uwanjani kama hauna jezi ya Yanga...

No jezi ya Yanga no entrance.
 
Hoja yako ni dhaifu sana mtu ataingia na begi na uzi wake wa simba ukiwa ndani ya begi au atavaa jezi ya yanga juu ndani ya simba akifika anavua anavaa ya simba
 
Probably unaishi Igangidulu au Isungachupi, uwanja wa taifa huwezi kuingia na begi bila kugaguliwa
 
Hiyo ni strategy endapo watapigwa (kuna asilimia kubwa ya kupigwa) watasema simba walivamia na kushangilia dhidi yao kupelekea kuwatoa nje ya mchezo kisaikolojia.
 
Sijui mnapanga muishi wapi baada ya mechi, labda mtaingia na vifaa vya ujenzi hapo uwanjani ili bada ya kukandwa za kutosha muanzishe kijiji chenu hapo ndani msitoke nje na muishi humo humo. Ila mkitoka tu ile saa 5 paaa, tutakuwepo mabarabarani na kwenye kila kichaka kuwapokea vizuri tu.

Kelele nyingi halafu wengi watakaoenda uwanjani na nguo mbili ni hao hao Yanga ili wakitoka uwanjani wasitambulike.
 
Ao Simba wenyewe uwa wana jaa uwanjani na tuna wakanda goli za kutosha itakuja kuwa ao watakao kuja baada ya swala ya taraweh!!
Utake usitake,ukate mauno au usikate mamelodi anawatoa
 
Sijui mnapanga muishi wapi baada ya mechi, labda mtaingia na vifaa vya ujenzi hapo uwanjani ili bada ya kukandwa za kutosha muanzishe kijiji chenu hapo ndani msitoke nje na muishi humo humo. Ila mkitoka tu ile saa 5 paaa, tutakuwepo mabarabarani na kwenye kila kichaka kuwapokea vizuri tu.

Kelele nyingi halafu wengi watakaoenda uwanjani na nguo mbili ni hao hao Yanga ili wakitoka uwanjani wasitambulike.
U will be surprised
 
Hizo nguvu za kurudi tena kwa Mkapa jumamosi watazitoa wapi,maana ijumaa wanakandwa then wanaenda kujifungia ndani wakisubiri Wanaume wao Yanga wawatoe kimasomaso.
Wataenda kushangilia " bora tukose wote"
 
Back
Top Bottom