Uchambuzi: hivi ndivyo Simba atakandwa 5 na galaxy

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Salaam waku.
Kama kawaida mchambuzi wenu hapa jf sports lazima niwaletee uchambuzi wa mechi kati ya simba na Galaxy

Mechi itakuwa na tension kubwa sana ambayo haijawahi shuhudiwa kwakuwa team zote zitahitaji matokeo chanya ....hii itakuwa mbaya Kwa Simba kwani watahitaji kufanya mashambulizi frequently

Kitendo Cha kushambulia sana ....kutokana na uwepo wa wachezaji vikongwe....jwaneng galaxy watatumia counter attacks na kuwaadhibu makolo mvua ya magoli kwani Baada ya kufunga goli Moja makolo wata panic hivyo kuendelea kuruhusu zaidi magoli
Conclusion
Binafsi sina alternative suggestions Kwa Simba kukwepa kichapo....coz team ni mbovu sana

Nb: ushauri wangu ni Simba tuendelee kujiandaa na Azam confederation cup ..huku kimataifa tumeshindwa
1698221166735.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom