Mary Nagu na Sumaye wanajuana saana
wana mtoto pamoja
wewe ndo unaona kuna aibu hapo...
Makubwa!!! Kuna mambo hapa sielewi, huyu mama anamme (Prof Nagu), na huyo baba ana mke (Mrs Sumaye), sasa inakuwaje wazae pamoja hawa bila tafrani la fumanizi au kupelekana mahakamani kutokea?? Mleta mada funguka!!!
Mary Nagu na Sumaye wanajuana saana
wana mtoto pamoja
wewe ndo unaona kuna aibu hapo...
Mbona mnamumunya maneno? Anguko la Sumaye lina mkono wa Lowasa, naona ameshapunguza opponents towards 2015, jamaa anaprone kidogo kidogo. Kufikia 2014 atakuwa kabakiza mmoja na kufikia 2015 atakuwa hana mpinzani
Kwani na wewe hujui kuwa kuna viwanda vya kutengeneza uongo?= By KikweteHuu Uongo mwingine mnatoaga wapi!!, usingizini!.
Binafsi nimefurahishwa sana na matokeo aliyoyapata Mhe. Sumaye, ama hakika amevuna alichokipanda. Ni mfano mzuri kwa viongozi wanaong'ang'ania madaraka. Yaani, huyu bwana pamoja nakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi, bado tu alikuwa ANATAKA TENA?
Hili liwe FUNDISHO kwa VING'ANG'ANIZI wengine...
Mkuu unajua kila mwanaCCM ana haki ya kugombea. Sina hakika kama ujumbe wa NEC ni madaraka, lakini ni kwanini unafurahia Sumaye kunshindwa? ni kwa kuwa hafai au kwa kuwa amekwahi kuwa PM, mzee hana mawazo mapya yanayoweza kusaidia Chama?
Sioni ajabu mtu kupata na kuendelea kutaka tena. Kuna wengi tu ambao wamekuwepo kwa muda mrefu kuliko Sumaye why are not talking a thing about them.
I would think that the point should be "the right vs the wrong" and not "the young vs the old". Serikali iliyoko madarakani sasa iliingia kwa gia ya ujana, look at the mess we are in now.